Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Katekisimu Mpya ya Kanisa Katoliki

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti za Kanisa, Maisha Adili na Maisha ya Sala!

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti za Kanisa, Maisha ya adili na Maisha ya sala; ni chombo madhubuti cha kufundishia imani na maadili!

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni chombo cha imani na Uinjilishaji mpya

27/12/2017 07:53

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa Imani, Sakramenti za Kanisa, Maisha adili pamoja na Maisha ya sala! Ni chombo mahususi cha kufundishia na kurithisha imani na maadili; chombo madhubuti katika mchakato mzima wa Uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti, Maisha na Sala. Ni chombo na amana ya imani ya Kanisa.

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti, Maisha na Sala ya Kanisa. Ni chombo na amana ya Imani ya Kanisa Katoliki.

Jubilei ya Miaka 25 ya Katekisimu ya Kanisa Katoliki: Adhabu ya kifo!

12/10/2017 13:05

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti, Maisha na Sala za Kanisa. Ni matunda ya changamoto iliyotolewa na Mababa wa Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican ili kwa ajili ya maisha na utume wa Kanisa sanjari na kukabiliana na changamoto mamboleo kama vile adhabu ya kifo!

Sinodi ya kwanza ya Jimbo kuu la Tabora ilikuwa ni nafasi ya kutembea pamoja kama familia ya Mungu ili kujadiliana sera na mikakati ya kichungaji.

Sinodi ya kwanza ya Jimbo kuu la Mwanza ilikuwa ni nafasi ya familia ya Mungu kutembea kwa pamoja, ili kujadiliana sera na mikakati ya shughuli za kichungaji.

Jimbo kuu la Tabora na changamoto za Chama cha Wakarismatiki!

05/06/2017 07:26

Askofu mkuu Paul Ruzoka wa Jimbo kuu la Tabora anasema, Sinodi ya Jimbo imekuwa ni fursa muafaka wa kutembea pamoja kama familia ya Mungu Jimboni humo na hivyo kupata kujadili kwa kina na mapana: utume na maisha ya Kanisa; changamoto na matarajio ya Jimbo kuu la Tabora. 

Shirika la Masista wa Mama Yetu wa Usambara, Tanga lilianzishwa ili kusaidia mchakato wa kuyatakatifuza malimwengu kwa uwepo na ushuhuda makini!

Shirika la Masista wa Mama Yetu wa Usambara lilianzishwa kunako mwaka 1954 ili kusaidia mchakato wa kuyatakatifuza malimwengu kwa njia ya uwepo na ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Siku ya 54 ya Kuombea Miito Duniani: Masista wa Mama Yetu wa Usambara!

06/05/2017 15:33

Shirika la Masista wa Mama Yetu wa Usambara lilianzishwa kunako mwaka 1954 ili kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuyatakatifuza malimwengu sanjari na kushiriki katika mchakato wa kuyapyaisha maisha yao kwa njia ya Mashauri ya Kiinjili, Neno la Mungu na huduma makini kwa watu!

Papa Mstaafu Benedikto XVI, tarehe 16 Aprili 2017 anaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 90 tangu alipozaliwa!

Papa Mstaafu Benedikto XVI tarehe 16 Aprili 2017 anaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 90 tangu alipozaliwa, matendo makuu ya Mungu! Hii ni Siku kuu ya Pasaka, ndiyo maana anaitwa kuwa ni shuhuda wa Imani ya Fumbo la Pasaka.

Papa Mstaafu Benedikto XVI: Shuhuda wa imani ya Fumbo la Pasaka!

11/04/2017 10:03

Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI tarehe 16 Aprili 2017: Siku kuu ya Pasaka anaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 90 tangu alipozaliwa kunako mwaka 1927 na kubatizwa katika mkesha wa Siku kuu ya Pasaka, tangu wakati huo ameiona imani ya Fumbo la Pasaka ikikua na kukomaa katika maisha!

Majadiliano ya kidini ni shule ya ubinadamu, chombo cha umoja, upendo, mshikamano na udugu!

Majadiliano ya kidini ni shule ya ubinadamu, chombo cha umoja, upendo na mshikamano ili kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya binadamu!

Majadiliano ya kidini ni shule ya amani, udugu na maendeleo ya wengi

22/03/2017 13:30

Majadiliano ya kidini kati ya waamini wa dini mbali mbali duniani ni shule ya ubinadamu na chombo cha ujenzi wa umoja, upendo na mshikamano ili kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya binadamu. Vita, kinzani na mipasuko ya kijamii inakinzana na tunu msingi za maisha ya kiroho na maadili.

Kardinali Gilberto Agustoni amefariki dunia tarehe 13 Januari 2017 akiwa na umri wa miaka 94. Alijaliwa karama nyingi katika maisha yake.

Kardinali Gilberto Agustoni amefariki dunia mjini Roma, tarehe 13 Januari 2017 akiwa na umri wa miaka 94. Ni kiongozi aliyebahatika kuwa na karama nyingi alizozitumia katika maisha na utume wa Kanisa la Kristo!

Marehemu Kardinali Gilberto Agustoni kuzikwa tarehe 17 Januari 2017

14/01/2017 15:57

Marehemu Kardinali Gilberto Agustoni ni Kasisi aliyekirimiwa karama na mapaji mengi na Roho Mtakatifu kiasi kwamba, katika maisha na utume wake, alibahatika kupata nafasi ya kulitumikia Kanisa la Kiulimwengu katika nyadhifa mbali mbali pamoja na kuandaa nyaraka nyeti za Kanisa la Kristo!

 

Wakristo na watu wote wenye mapenzi mema wanahamasishwa kusimama kidete ili kulinda, kutetea na kushuhudia Injili ya familia!

Wakristo na watu wote wenye mapenzi mema wanahamasishwa kusimama kidete ili kulinda, kutetea na kushuhudia Injili ya familia!

Simameni kidete kutangaza na kushuhudia Injili ya familia!

27/12/2016 08:18

Katika ulimwengu wa utandawazi na maendeleo ya sayansi na teknolojia taasisi ya familia imekuwa ikishambuliwa na kupigwa danadana, ili kufisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia. Wakristo pamoja na watu wote wenye mapenzi mema wanapaswa kusimama kidete kushuhudia Injili ya familia.