Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Katekesi ya Jumatano

Mwenye kusamehe kidogo, hupenda kidogo.”Basi, Yesu akamwambia yule mwanamke, “Umesamehewa dhambi zako

Mwenye kusamehe kidogo, hupenda kidogo.”Basi, Yesu akamwambia yule mwanamke, “Umesamehewa dhambi zako"

Yesu alitundikwa msalabani kwa kosa la kusamehe dhambi!

09/08/2017 15:03

Yesu alitambua uchungu wa binadamu ullivyo kuwa mkubwa na ndiyo maana alimkaribisha na kumponya akisema mwanangu umesamehewa dhambi zako. Baadhi ya walimu wa sheria waliokuwa wameketi hapo wakawaza mioyoni mwao kuwa amekufuru,kwasababu hakuna mtu awezaye kusamehe dhambi 

 

Watakatifu, mashuhuda na wandani wa matumaini kuishi utakatifu

Watakatifu, mshuhuda na wandani wa kuishi utakatifu.

Watakatifu, Mashuhuda na wandani wa matumaini

21/06/2017 13:12

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Katekesi yake siku ya Jumatano, amewaalika waamini kuwa jasiri wa imani na wenye matumaini thabiti katika kuchuchumilia utakatifu, wakikumbuka wanao watakatifu wanaowaombea na kuwasindikiza katika hija ya maisha na kwamba, utakatifu unawezekana!

Baba Mtakatifu Francisko amemalizia katekesi yake akisema katika sikukuu ya Pentekoste ambayo ni sikukuu ya kuzaliwa kwa Kanisa  itukute katika sala

Baba Mtakatifu Francisko amemalizia katekesi yake akisema katika siku kuu ya Pentekoste ambayo ni sikukuu ya kuzaliwa kwa Kanisa itukute katika muungano wa sala na mama Maria mama wa Yesu na mama yetu

Papa: Matumaini ni kama nanga,Roho Mtakatifu ni kama tanga ya mashua!

31/05/2017 16:37

Roho Mtakatifu hatufanyi tuwe na uwezo wa kutumaini peke yake bali anatufanya tuwe wapanzi wa matumaini kama yeye anavyotoa neema kwa njia ya faraja,hata sisi tunaweza kuwatuliza na kuwatetea wengine.Kuweni wapanzi wa matumani maana mkristo anaweza pia kuwa mpanzi wa hofu na ubaya

 

Kila mmoja wetu ni historia ya upendo wa Mungu, na kila mmoja Mungu anamwita kwa jina lake binafsi kwasababu  anatutazama, anatusubiri, anatusamahe

Kila mmoja wetu ni historia ya upendo wa Mungu, na kila mmoja Mungu anamwita kwa jina lake binafsi kwasababu anatutazama, anatusubiri, anatusamahe

Mtakatifu Maria Magdalena ni mtume wa matumaini ya Kikristo!

17/05/2017 16:29

Wapo watu wengi karibu na Yesu wanaomzunguka,wapo watu wengi wanao mtafuta Mungu, lakini jambo la kushangaza ni kwamba kabla ya wao kumtafuta , hawali ya yote ni Mungu mwenyewe  anayehangaikia maisha yao. Kwa kufanya hivyo yeye anawaita kwa majina kwa sababu anatambua sura binafsi 

 

Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Misri imekuwa ni alama ya matumaini, kimbilio na hifadhi ya Familia Takatifu, chemchemi ya tamaduni za kale.

Hija ya kitume ya Papa Francisko nchini Misri imekuwa ni alama ya matumaini kwa familia ya Mungu nchini humo, kimbilio na hifadhi kama ilivyokuwa kwa Familia Takatifu, chimbuko la tamaduni na mapokeo ya kale!

Papa: Hija ya kitume nchini Misri, kielelezo cha matumaini mapya!

03/05/2017 17:03

Baba Mtakatifu Francisko anasema, hija yake ya kitume nchini Misri ni alama makini ya matumaini ya binadamu wote, mahali ambapo Familia Takatifu ya Yesu, Maria na Yosefu ilipata hifadhi; ni nchi yenye utamaduni wa kale unaofumbatwa katika ukarimu kwa watu wenye shida na mahangaiko!

 

Papa Francisko: Yesu Mfufuka ni kiini cha imani, mapendo na matumaini ya binadamu wote!

Papa Francisko: Yesu Mfufuka ni kiini cha imani, matumaini na mapendo kwa binadanu wote!

Paulo alikuwa mtesi wa Kanisa akageuka kuwa mtangazaji wa habari njema

19/04/2017 15:54

Aliyekuwa mtesi wa Kanisa anageuka kuwa mtume, ni kwasababu gani?,yeye amemuona Yesu mzima, amemwona Yesu mfufuka.Hiyo ndiyo msingi wa imani ya Paulo,kama vile imani ya mitume wengine na kama ilivyo imani ya Kanisa  na  kama ilivyo imani yetu.Yesu amefufuka ni mzima

 

Barua ya kwanza ya Mtume Petro  ina uwezo mkubwa wa kutoa faraja  na amani, ili kufanya utambue ni jinsi gani Bwana yuko karibu nasi na hatuachi kamwe

Barua ya kwanza ya Mtume Petro ina uwezo mkubwa wa kutoa faraja na amani, ili kufanya utambue ni jinsi gani Bwana yuko karibu nasi, na hatuachi kamwe, na zaidi hasa katika kipindi kigumu cha maisha yetu

Ukishiriki na watu waliobaguliwa wewe ni chombo cha faraja!

05/04/2017 17:00

Baba Mtakatifu Francisko amesema,tunaposhiriki katika watu wa mwisho na wanao baguliwa au hatujibu ubaya kwa ubaya bali kusamehe na kutoa baraka,sisi tunaangaza kama ishara hai inayoang’aa na matumaini pia tunakuwa chombo cha faraja na amani kutoka katika moyo wa Mungu.

 

Papa Francisko anawaalika waamini kuiga mfano bora wa Ibrahimu baba wa imani na matumaini katika maisha yao!

papa Francisko anawaalika waamini kuiga mfano bora wa Ibrahimu baba wa imani na matumaini katika maisha yao!

Ibrahimu ni baba wa imani na matumaini, mfano bora wa kuigwa!

29/03/2017 13:42

Ibrahimu ni baba wa imani na matumaini kwani alimiani kwa kutarajia yasiowezekana, hali inayojonesha kwa namna ya pekee katika maisha yake kwa kukiona kifo kinamkodolea macho sanjari na maisha ya Sarak aliyekuwa mgumba, kiasi cha kutotarajia kupata mtoto, lakini akajiaminisha kwa Mungu!