Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Katekesi

Katika katekesi ya papa Francisko Jumatano 13 Juni 2018 ameanza mada mpya kuhusu Amri za Mungu

Katika katekesi ya papa Francisko Jumatano 13 Juni 2018 ameanza mada mpya kuhusu Amri za Mungu

Katika Katekesi Papa Francisko ameanza mada mpya kuhusu Amri za Mungu !

13/06/2018 16:08

Leo hii tunaanza safari mpya ya Katekesi. Itakuwa inahusu mada ya amri za Mungu. Katika utangulizi tutumie neno la Mungu lilisomwa: mkutano kati ya Yesu una mtu aliyepiga magoti akiomba kujua nammana ya  kuurithi ufalme wa Mungu.Ni maneno ya Papa katika katekesi yake tarehe 13 Jini 2018

 

 

Papa Francisko anasema Mwenyezi Mungu ni asili na hatima ya maisha ya mwanadamu, mwaliko ni kulinda  na kudumisha maisha ya binadamu!

Papa Francisko asema, Mwenyezi Mungu ni asili na hatima ya maisha ya mwanadamu, changamoto ni kulinda na kudumisha maisha dhidi ya utamaduni wa kifo!

Mkutano mkuu wa Benki ya Dunia: Kipaumbele ni utu na maskini duniani

18/04/2018 15:58

Baba Mtakatifu mara baada ya katekesi yake, tarehe 18 Aprili 2018 ametoa wito wa aina mbili, kwanza kuhusu mkutano wa Benki duniani ili wakumbuke maskini na wito wa pili kwa ajili ya mtoto Alfie Evans na Vincent Lambert ili waweze kufanya kila njia ya ya kutetea na kulinda maisha ya watu hao

 

Baba Mtakatifu amesalimia waamini waliokuwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro kusikiliza Katekesi yake

Baba Mtakatifu amesalimia waamini waliokuwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro kusikiliza Katekesi yake

Papa amesalimia waamini katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro!

28/02/2018 15:50

Baba Mtakatifu amewasalimia hata waamini waliokuwa katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro.Amewashukuru kwa uvumilivu wao ambao wameweza kusubiri hadi mwisho.Aidha Baada ya Katekesi amewakumbuka na kusali kwa ajili ya watu wa nchi za Mashariki wanaoendelea kuteseka kwa ajili ya vita 

 

 

Papa akisalimiana na washiriki wa katekesi tarehe 28 Februari 2018 katika Ukumbi wa Mwenye heri Paulo VI

Papa akisalimiana na washiriki wa katekesi tarehe 28 Februari 2018 katika Ukumbi wa Mwenye heri Paulo VI

Papa:Altareni ndiyo Kitovu cha Msalaba na ndiyo Yesu mwenyewe!

28/02/2018 15:38

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa katekesi yake ya kila Jumatano, Tarehe 28 Februari 2018 ametafakari juu ya Liturujia ya Ekalisti kama mwendelezo wa tafakari juu ya Mada ya Misa.Amesisitiza kuwa  altare ya Msalaba ndiyo ilikuwa ya kwanza  ya kikristo.Ndiyo kitovu cha sadaka yaani Kristo 

 

Askofu Mkuu Fisichella anafafanua maana ya elimu akisema;hawali ya yote ni kurudia kushika mikononi mwako Neno la Mungu na kulifanya liwe kirutubisho

Askofu Mkuu Fisichella anafafanua maana ya elimu akisema;hawali ya yote ni kurudia kushika mikononi mwako Neno la Mungu na kulifanya liwe kirutubisho cha kuishi.

Askofu Mkuu Fisichella ataka umoja na mabadiliko nchini Ufilippini

11/08/2017 15:11

Askofu Mkuu Rino Fisichella Rais wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Unjilishaji ameudhuria Mkutano wa makatekista hivi aribuni Mjini Manila.Mkutano huo ulikuwa pia unahusu kuwasilisha Katiba rasmi ya cama kipya kitaifa kinachounganisha wahusika wa shughuli za katekesi barani Asia.

 

 

Papa Francisko anasema katekesi makini ni ile inayomwilishwa katika ushuhuda wa huduma ya upendo kwa maskini na wale wanaoteseka!

Papa Francisko anasema, katekesi makini ni ile inayomwilishwa katika ushuhuda wa huduma ya upendo kwa maskini na wale wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii.

Baba Mtakatifu Francisko "awafagilia sana" Makatekista kwa utume wao!

13/07/2017 13:45

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Katekesi makini ile inayotangazwa na kushuhudiwa katika matendo kama kielelezo makini cha imani tendaji. Ikumbukwe kwamba, Ukatekista si kazi bali ni wa huduma katika Kanisa unaomsukuma mwamini kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu!