Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali Leopoldo Josè Brenes Solòrzano

Baraza la Maaskofu Katoliki Nicaragua lina laani mashambulizi dhidi ya viongozi wa Kanisa.

Baraza la Maaskofu Katoliki Nicaragua lina laani sana mashambulizi dhidi ya viongozi wa Kanisa nchini humo.

Viongozi wa Kanisa washambuliwa nchini Nicaragua! Maaskofu washutumu!

10/07/2018 15:30

Baraza la maaskofu Katoliki Nicaragua pamoja na Baraza la Maaskofu katoliki Costa Rica wameungana pamoja kulaani mashambulizi dhidi ya viongozi wa Kanisa yaliyofanywa huko nchini Nicaragua wakati viongozi hao walipokuwa wakitekeleza utume wao wa kuwafariji maskini na wagonjwa!

Kardinali Miguel Obando Bravo enzi ya uhai wake, alitangaza na kushuhudia Injili ya haki, amani, upendo na maridhiano kati ya watu!

Kardinali Miguel Obando Bravo enzi ya maisha yake alisimama kidete kutangaza na kushuhudia Injili ya haki, amani na maridhiano kati ya watu!

Kardinali Miguel O. Bravo, mtetezi wa wanyonge, amepumzika kwa amani!

05/06/2018 09:08

Kardinali Miguel Obando Bravo anakumbukwa sana na Mama Kanisa kutokana na majitoleo yake ya kusimama kidete kutangaza na kushuhudia Injili ya haki, amani na maridhiano kati ya watu! Ni kiongozi aliyemwilisha dhana ya Sinodi katika maisha na utume wa Kanisa! Alikuwa matata kwa hesabu na fizikia!