Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali Kurt Koch

Siku ya Sala ya Kiekumene mjini Bari, linapaswa kuwa ni tukio endelevu katika maisha ya Wakristo.

Siku ya Sala ya Kiekumene mjini Bari, 7 Julai 2018 inapaswa kuwa ni tukio endelevu katika maisha na utume wa Kanisa

Siku ya Sala ya Kiekumene: Ni tukio la kihistoria kwa Makanisa

14/07/2018 16:47

Siku ya Sala ya Kiekumene kwa ajili ya kutafakari, kusali na kuombea amani huko Mashariki ya Kati, hapo tarehe 7 Julai 2018 limeimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa waamini wa Makanisa ya Mashariki na Magharibi. kardinali Kurt Koch anasema, hili ni tukio endelevu.

Papa Francisko anakazia uekumene wa maisha katika sala na huduma; uekumene wa damu kama ushuhuda na uekumene wa utakatifu, wito kwa wote!

Papa Francisko anakazia uekumene wa maisha unaofumbatwa katika sala na huduma; uekumene wa damu, ushuhuda wa imani kwa Kristo na Kanisa lake na uekumene wa utakatifu wa maisha, mwaliko kwa Wakristo wote kuwa watakatifu kama Baba yao wa mbinguni alivyo mtakatifu!

Papa Francisko anakazia: Uekumene wa maisha, damu na utakatifu!

04/07/2018 14:33

Baba Mtakatifu Francisko katika maisha na utume wake mintarafu majadiliano ya kiekumene anapenda kuwahimiza wakristo kujikita katika uekumene wa maisha unaofumbatwa katika sala na huduma; uekumene wa damu kama kielelezo cha mshikamano na uekumene wa utakatifu wa maisha kiini cha umoja!

Kardinali Kurt Koch: Uekumene wa damu na sala unaliunganisha zaidi Kanisa!

Kardinali Kurt Koch: Uekumene wa damu na sala unaliunganisha Kanisa zaidi.

Uekumene wa damu na sala unaliunganisha Kanisa zaidi!

03/07/2018 14:31

Kardinali Kurt Koch anasema, uekumene wa damu na sala ni mbegu ya Ukristo na sehemu muhimu sana ya mchakato wa umoja wa Wakristo kama mashuhuda wa Kristo na Kanisa lake! Siku ya Kiekumene ya Kuombea amani na umoja huko Mashariki ya Kti ni kikolezo cha ushuhuda wa pamoja!

Uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko katika Jubilei ya miaka 70 ya Baraza la Makanisa Ulimwenguni ni zawadi kwa Makanisa!

Uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko kwenye Jubilei ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Baraza la Makanisa Ulimwenguni ni zawadi kubwa kwa Makanisa!

Papa Francisko ni zawadi kwa Makanisa katika majadiliano ya kiekumene

16/05/2018 08:40

Nembo na kauli mbiu inayoongoza hija ya kiekumene ya Baba Mtakatifu Francisko mjini Geneva nchini Uswiss, tarehe 21 Juni 2018 inakazia umuhimu wa Makanisa: Kutembea, Kusali na Kushirikiana kama muhtasari wa dhamana na malengo makuu ya majadiliano ya kiekumene miongoni mwa Makanisa!

Papa Francisko tarehe 7 Julai 2018 anatembelea Kanisa kuu la Mt. Nicholaus wa Bari ili kusali kwa ajili ya kuombea amani huko Mashariki ya Kati.

Papa Francisko tarehe 7 Julai 2018 anatembelea Kanisa kuu la Mtakatifu Nicholaus wa Bari ili kutafakari na kusali kwa ajili ya kuombea amani huko Mashariki ya Kati. Ni tukio linalotarajiwa kuwaunganisha pia viongozi wakuu wa Makanisa ya Mashariki.

Viongozi wa Makanisa kukutana ili kusali na kutafakari huko Bari!

27/04/2018 07:08

Baba Mtakatifu Francisko katika maisha na utume wake, anaendelea kutoa kipaumbele cha pekee katika majadiliano ya kiekumene. Tarehe 7 Julai 2018, anatarajiwa kutembelea Kanisa kuu la Mtakatifu Nicholaus wa Bari, Kusini mwa Italia, ili kusali na kutafakari juu ya mateso ya Wakristo!

WCC: Linawataka Wakristo kushiriki kikamilifu katika Siku ya kusali na kufunga kwa ajlili ya kuombea amani nchini DRC na Sudan ya Kusini.

WCC: Linawaalika Wakristo sehemu mbali mbali za dunia kushirikiana kwa dhati ili kufunga na kusali kwa ajili ya kuombea haki, amani na maridhiano nchini DRC na Sudan ya Kusini.

WCC: Ushuhuda wa Injili ya Amani unafumbatwa katika sala na kufunga

18/02/2018 07:30

Baraza la Makanisa Ulimwenguni linawaalika Wakristo wote sehemu mbali mbali za dunia kufunga na kusali 23 Feb. 2018 kwa ajili ya kuombea: haki, amani na maridhiano huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Congo pamoja na Sudan ya Kusini. Hiki ni kielelezo cha ushuhuda wa Injili ya Amani Duniani.

Msalaba uliotengenezwa kwa ajili ya tukio la maadhimisho ya Jubilei ya miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri Lund-Sweden

Msalaba uliotengenezwa kwa ajili ya tukio la maadhimisho ya Jubilei ya miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri huko Lund 2016

Msalaba wa Kiekumene kutoka Lund,umepelekwa jijini Geneva!

20/01/2018 13:57

Tarehe 18 Januari 2018,Msalaba wa Lund umewekwa katika Kanisa dogo kwenye Kituo cha Kiekumene huko Geneva,kama ishara inayoonekana ya hatua ya mchakato wa mapatano iliyo anzishwa na wakatoliki na waluteri.Tukio la Msalaba limefanyika wakati wa ufunguzi Juma la Maombi ya Umoja wa Wakristo

 

Juma la Kuombea Umoja wa Wakristo 18-25 Januari 2018 lisaidie kuelewa vema matashi ya Yesu Kristo

Juma la Kuombea Umoja wa Wakristo 18-25 Januari 2018 lisaidie kuelewa vema matashi ya Yesu Kristo

Juma la Kuombea Umoja wa Wakristo 18-25 Januari:Uekumene ni umisionari!

18/01/2018 09:01

Tafakari ya Kardinali Kurt Koch kuhusu Uekumene kama utume katika Juma la kuombea Umoja wa Wakristo tarehe18-25 Januari.Iwapo Juma la Maombi litasaidia kutambua matashi ya moyo wa Yesu,basi ndiyo utakuwa mchango mkubwa wa maandalizi ya mwezi wa maalumu wa kimisionari 2019!