Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali John Tong Hon

Waamini wa dini mbali mbali wanao wajibu wa kusali ili kuombea amani, upendo na mshikamano wa kidugu!

Waamini wa dini mbali mbali wanao wajibu na dhamana ya kuombea amani, upendo na mshikamano wa kidugu, mambo muhimu katika mchakato wa majadiliano ya kidini.

Dini zina wajibu wa kudumisha amani, udugu na mshikamano kati ya watu

04/08/2017 15:00

Waamini wa dini mbali mbali wanayo dhamana na wajibu wa kulinda na kudumisha amani duniani kwa njia ya sala, upendo na mshikamano wa kidugu, mchakato unaowasaidia kufahamiana, kuheshimiana, kusaidiana na kushikamana kwa ajili ya huduma makini kwa binadamu katika ulimwengu mamboleo!

Vijana, Imani na Mang'amuzi ya Miito & Furaha ya upendo ndani ya famili; ni msingi wa Sinodi ya Maaskofu 2018.

Vijana, Imani na Mang'amuzi ya Miito ni msingi wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu wa Vijana kwa mwaka 2018, ili kuwasaidia vijana kufanya maamuzi magumu katika maisha yao"!

Kardinali Baldisseri: maadhimisho ya Sinodi kwa jicho la kichina!

18/05/2017 10:27

Wosia wa Kitume wa Baba Mtakatifu Francisko "Furaha ya upendo ndani na familia" na Kauli mbiu ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana yaani "Vijana, Imani na Mang'amuzi ya Miito" ni nyenzo msingi katika maandalizi ya maisha na utume wa vijana wa kizazi kipya kwa sasa!