Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali John Njue

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya limechagua "vigogo" watakaongoza Baraza hilo kuanzia sasa!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya limechagua "vigogo" watakaoliongoza Baraza hili kuanzia sasa!

Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya lapata "vigogo wapya"

16/04/2018 11:42

Askofu Philip Arnold Subira Anyolo amechaguliwa tena kuwa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Kenya, Askofu Obala Owaa kuwa Makamu wa Rais, Askofu mkuu Martin Kivuva Musonde ataendelea kuwa ni Mwenyekiti wa Shirika la Misaada ya Kanisa Katoliki nchini Kenya. 

 

Tume ya Kikatoliki Kimataifa kwa ajili ya wahamiaji, ICMC imejizatiti katika miaka 65 kuwahudumia wakimbizi na wahamiaji duniani.

Tume ya Kikatoliki Kimataifa kwa ajili ya Wahamiaji kwa Miaka 65 imejizatiti kuwahudumia na kuboresha maisha ya wakimbizi na wahamiaji sehemu mbali mbali za dunia.

ICMC: Miaka 65 ya huduma makini kwa wakimbizi na wahamiaji duniani!

08/03/2018 15:14

Baba Mtakatifu Francisko anaishukuru na kuipongeza Tume ya Kikatoliki Kimataifa kwa ajili ya Wahamiaji, ICMC, ambayo kwa muda wa miaka 65 imekuwa bega kwa bega katika mchakato wa kupangusa machozi ya wakimbizi na wahamiaji pamoja na kujizatiti kuboresha hali ya maisha na utu wao!

Wahudumu wa sekta ya afya wanahamasishwa na Mama Kanisa kuwa ni mashuhuda na vyombo vya huruma, upendo, imani na matumaini kwa wagonjwa wao!

Wahudumu wa sekta ya afya wanahamasishwa na Mama Kanisa kuwa ni vyombo na mashuhuda wa huruma, upendo, imani na matumaini kwa wagonjwa wanaowahudumia.

Wahudumu wa afya wawe ni mashuhuda wa huruma, imani na mapendo!

17/02/2018 07:10

Wahudumu wa sekta ya afya wanahamasishwa na Mama Kanisa kuhakikisha kwamba, wanakuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa huruma, upendo na imani kwa wagonjwa na maskini wanaowahudumia kama kielelezo cha mwendelezo wa kazi ya ukombozi iliyoanzishwa na Kristo Yesu kwa Njia ya Msalaba.