Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali Jean Louis Tauran

Ibada ya Misa takatifu kwa ajili ya mazishi ya Kardinali Jean Louis Tauran.

Ibada ya Mazishi kwa ajili ya Kardinali Jean Louis Tauran.

Kardinali Jean Louis Tauran alikuwa ni jembe la majadiliano ya kidini!

12/07/2018 16:22

Kardinali Jean Louis Tauran, katika maisha yake kama Padre, Askofu na Kardinali alijisadaka bila ya kujibakiza kwa ajili ya huduma kwa Kristo Yesu na Kanisa lake! Akajitosa kimasomaso kwa ajili ya mchakato wa majadiliano ya kidini ili kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano!

Kardinali Jean Louis Tauran, Rais wa Baraza la Kipapa la Majadiliano ya Kidini amefariki dunia 5 Julai 2018.

Kardinali Jean Louis Tauran, Rais wa Baraza la Kipapa la Majadiliano ya Kidni amefariki dunia tarehe 5 Julai 2018 huko nchini Marekani.

Tanzia: Kardinali Jean Louis Tauran, amefariki dunia, 5 Julai 2018

07/07/2018 16:30

Kardinali Jean Louis Tauran, Rais wa Baraza la Kipapa la Majadiliano ya kidini aliyezaliwa kunako mwaka 1943 huko Ufaransa. Akapewa Daraja Takatifu ya Upadre mwaka 1969. Kunako mwaka 1991 akateuliwa kuwa Askofu mkuu na mwaka 2003 akapewa heshima ya kuwa Kardinali amefariki 5 Julai 2018.

Wakristo na Wabudha washikamane kupambana na vitendo vya rushwa na ufisadi

Wakristo na Wabudha washikamane kupambana na vitendo vya rushwa na ufisadi.

Wakristo na Wabudha pambaneni kwa dhati kabisa na rushwa na ufisadi

26/05/2018 15:44

Baraza la Kipapa la Majadiliano ya kidini, katika ujumbe wake kwa maadhimisho ya Siku kuu ya Vesakh/Hanamatsuri kwa ajili ya waamini wa dini ya Kibudha, lina wataka waamini wa dini hizi mbili kusimama kidete kupambana na vitendo vya rushwa na ufisadi hadi vitokomee kabisa kwenye uso wa dunia!

Waamini wa dini mbali mbali wanapaswa kulinda, kuheshimu na kudumisha utu wa binadamu!

Waamini wa dini mbali mbali wanapaswa kulinda, kuheshimu na kuendeleza utu, heshima ya binadamu na haki zake msingi.

Umuhimu wa majadiliano ya kidini katika kukuza utu, haki na amani!

17/05/2018 08:09

Baba Mtakatifu Francisko anasema changamoto zinazowakabili waamini wa dini mbali mbali leo ni: utambulisho wa dini yao; umuhimu wa kuheshimu na kuthamini waamini wenye dini na imani tofauti; ukweli katika imani inayoungamwa na kushuhudiwa na waamini wa dini husika!

Kard Tauran ametoa ujumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano kwa mazungumzo kati ya dini za Kidharma na wakristo mjini Roma 15 Mei 2018

Kard Tauran ametoa ujumbe wakati wa ufunguzi wa mkutano kwa mazungumzo kati ya dini za Kidharma na wakristo mjini Roma 15 Mei 2018

Ujumbe wa Kard. Tauran kwa wawakilishi wa mkutano wa dini za kidharma!

16/05/2018 16:16

Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya kidini kwa ushirikiano na ofisi ya kitaifa ya Uekumene na mazungumzo ya kidini ya Maaskofu wa Italia,wameandaa Mkutano wanye mada kuu ya DHARMA na LOGOs.Mazungumzo na ushirikiano katika nyakati ngumu.Kard Tauran ametoa hotuba yake 15 Mei 2018

 

Tarehe 9-10 Mei umefanyika mkutano wa mazungumzo ya kidini kati ya wakristo na waislam mjini Amman nchini Jordan

Tarehe 9-10 Mei umefanyika mkutano wa mazungumzo ya kidini kati ya wakristo na waislam mjini Amman nchini Jordan

Mazungumzo ya kidini kati ya wakristo na waislam huko Amman Jordan!

10/05/2018 15:56

Kila mtu au kikundi kinacho jikuta katika hali ya mahitaji kwasababu ya kuathirika na mateso,lazmia kupewa msaada,maana wote ni ndugu kaka na dada kibinadamu pia ni suala la haki msingi! Ni ujumbe wa Kard.Tauran alioutuma katika mazungumzo ya kidini katika Taasisi  iliyopo Amman Jordan! 

 

 

Viongozi wa kidini hawana budi kuwahusisha vijana wa kizazi kipya katika mchakato wa majadiliano ya kidini.

Viongozi wa kidini hawana budi kuwashirikisha kikamilifu vijana wa kizazi kipya katika mchakato wa majadiliano ya kidni.

Vijana washirikishwe katika mchakato wa majadiliano ya kidini

25/04/2018 15:42

Baraza la Kipapa la Majadiliano ya kidini linasema, viongozi wa dini mbali mbali hawana budi kuwekeza katika elimu ya majadiliano ya kidini ili kuwashirikisha vijana wa kizazi kipya katika mchakato wa majadiliano ya kidini ili kujenga na kudumisha amani, upendo na mshikamano kati ya watu!

Siku ya wanawake duniani kwa mwaka 2018.

Siku ya wanawake duniani kwa mwaka 2018

Achana na wanawake bwana! Utalala mlango wazi! Ni majembe ya nguvu!

08/03/2018 15:52

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kuna haja ya kuwaheshimu, kuwaenzi na kuwajengea uwezo wanawake ili waweze kuchangia kikamilifu katika ustawi, maendeleo na mafao ya: Kanisa, familia na jamii katika ujumla wake! Hii ni changamoto ya kuachana na mfumo dume na unyanyasaji dhidi ya wanawake!