Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali Fernando Filoni

Askofu mkuu Giampietro Dal Toso, Katibu Mwambata wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu awekwa wakfu!

Askofu mkuu Giampietro Dal Toso, Katibu mkuu Mwambata wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu amewekwa wafu.

Dhamana na wajibu wa Askofu mkuu Dal Toso: Utume na Sala!

19/12/2017 14:24

Hivi karibuni Baba Mtakatifu Francisko amemteuwa Monsinyo Giampietro Dal Toso kuwa Katibu Mwambata wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa Watu na kuwekwa wakfu tarehe 16 Desemba 2017 kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican: Dhamana yake ni Utume na Sala kwa watu wa Mungu!

Kama wakristo wa Uganda ni lazima kujibu maneno ya Yesu kwa kusikiliza kilio cha masikini, wagonjwa, wanaobaguliwa, wahamiaji ,wakimbizi, waathirika

Kama wakristo wa Uganda ni lazima kujibu maneno ya Yesu kwa kusikiliza kilio cha masikini, wagonjwa, wanaobaguliwa, wahamiaji , wakimbizi, waathirika wa migogoro ya kivita

Kard.Filoni anasema upendo wa Yesu unajipanua katika kukaribisha

30/10/2017 15:08

Kardinali F. Filoni Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji, wakati wa Maadhimisho ya hitimisho la Jubilei ya Miaka 50 ya Jimbo Kuu la Kampala nchini Uganda, iliyohitimishwa Jumapili 29 Oktoba kwenye madhabahu ya Mashahidi wa Uganda Namugongo amewataka wakristo wasikilize Yesu 

 

Kardinali F. Filoni Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji, yuko Uganda kuhitimisha miaka maadhimisho ya miaka 50 ya Jimbo la Kampala

Kardinali F. Filoni Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji, yuko Uganda kuhitimisha miaka maadhimisho ya miaka 50 ya Jimbo la Kampala

Ziara ya Kard.F.Filoni nchini Uganda tangu tarehe 26-30 Oktoba 2017

27/10/2017 17:51

Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa Watu, Kardinali Fernando Filoni, yupo Uganda kuhitimisha maadhimisho ya miaka 50 ya Jimbo kuu la Kampala.Ni ziara yake ya kichungaji nchini humo kuanzia tarehe 26 hadi 30 Oktoba.Ijumaa tarehe 27 Oktoba atakutana na umuiya tofauti

 

 Kwa njia hiyo kulingana na maombi ya Baraza la Kipapa la Uinjilishji wa Watu, Baba Mtakatifu anaelekeza mwezi maalumu wa Kimisionari Oktoba 2019

Kwa njia hiyo kulingana na maombi ya Baraza la Kipapa la Uinjilishji wa Watu, Baba Mtakatifu anaelekeza mwezi maalumu wa Kimisionari Oktoba 2019 lengo lake ni kuwa na utambuzi zaidi wa Misio ad Agentes

Papa: Oktoba 2019 umetangazwa kuwa mwezi maalumu wa Kimisionari

23/10/2017 16:30

 Baba Mtakatifu amesema,kulingana na maombi ya Baraza la Kipapa la Uinjilishji wa Watu,ametangaza Mwezi Maalumu wa Kimisionariu Oktoba 2019 kwa  lengo la kuwa na utambuzi zaidi wa Misio ad Agentes na kuanza upya mageuzi ya kimisionari katika maisha na katika uchungaji ulimwenguni

 

Tarehe 17 Oktoba 2017 Chuo Kikuu cha Urbaniana kimefungua rasmi mwaka mpya wa masomo 2017-2018 kwa misa takatifu iliyoongozwa Kard Ferdinando Filoni

Tarehe 17 Oktoba 2017 Chuo Kikuu cha Urbaniana kimefungua rasmi mwaka mpya wa masomo 2017-2018 kwa misa takatifu iliyoongozwa na Kard Ferdinando Filoni

Ufunguzi wa mwaka mpya wa masomo 2017/18 wa Chuo Kikuu Urbaniana

21/10/2017 09:51

Tarehe 17 Oktoba2017 jumuiya ya Chuo Kikuu cha Kipapa cha Urbaniana wamefanya ufunguzi wa mwaka mpya wa masomo 2017-2018.Ni mwaka wa 390 wa masomo tangu kuanzishwa chuo hicho.MisaTakatifu imeongozwa na Kardinali Fernando Filoni Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji

 

Jimbo Katoliki la Sendai ni kati ya maeneo yaliyoathirika vibaya sana na Tsunami ya mwaka 2011 iliyotokea Japan.

Jimbo Katoliki la Sendai ni kati ya maeneo yaliyoathirika vibaya sana wakati wa Tsunami iliyoikumba Japan kunako mwaka 2011.

Makovu ya Tsunami Jimboni Sendai bado yanaonekana sana kwa watu!

23/09/2017 16:59

Jimbo Katoliki la Sendai ni kati ya maeneo yaliyoathirika vibaya sana kwa Tsunami iliyotokea kunako mwaka 2011 na hivyo kusababisha maafa makubwa kwa watu na mali zao! Lakini, familia ya Mungu Jimboni humo bado haijakata tamaa, inaendelea kujizatiti katika mchakato wa ujenzi wa Sendai mpya!

Tokyo ni Jiji lenye changamoto nyingi katika malezi, majiundo na makuzi ya Kipadre: Lakini kuna haja ya kujisadaka kwa ajili ya huduma kwa Kanisa.

Tokyo ni Jiji lenye changamoto nyingi katika malezi, makuzi na majiundo ya Kipadre, lakini Kanisa bado linawahitaji watenda kazi, wema, watakatifu na wanyofu wa moyo!

Dumisheni: Ufukara wa Kikristo, Useja na Utii!

23/09/2017 16:07

Kardinali Fernando Filoni wakati wa hija yake ya kikazi Jimbo kuu la Tokyo, Japana amewataka Majandokasisi kuhakikisha kwamba, wanakabiliana na changamoto za ulimwengu mamboleo katika majiundo yao kwa kujikita katika ufukara wa Kikristo, Useja na Utii, daima wakimwangalia Kristo Yesu!

Japani bado inahitaji kuinjilishwa kwa kujikita katika ushuhuda, majadiliano ya kidini na kitamaduni!

Japan bado inahitaji kuinjilishwa kwa kujikita katika mchakato wa ushuhuda, majadiliano ya kidini na kitamaduni, ili Kristo Yesu aweze kupewa kipaumbele cha kwanza katika maisha.

Bado Japan inahitaji kuinjilishwa!

22/09/2017 16:26

Kardinali Fernando Filoni anasema kutokana na  changamoto mbali mbali zinazoendelea kuibuliwa kwenye ulimwengu wa utandawazi  na maendeleo ya sayansi na teknolojia, kuna haja ya kuendelea kujikita katika mchakato wauinjilishaji unaofumbatwa katika huduma, majadiliano ya kidini na kitamaduni.