Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali Fernando Filoni

Injili ya Kristo inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa kwa watu kama kielelezo cha imani tendaji!

Injili ya Kristo inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa kwa watu kama kielelezo cha imani tendaji!

Habari Njema ya Wokovu inapaswa kutangazwa na kushuhudiwa!

12/07/2018 16:40

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini ni muda muafaka wa kutafakari kuhusu changamoto zinazojitokeza katika maisha na utume wa Kanisa, tayari kuwatangazia watu wa Mataifa furaha ya Injili inayomwilishwa katika ushuhuda, kielelezo makini cha imani tendaji, kiini cha uinjilishaji mpya!

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini linaanza tangu tarehe 9-14 Julai 2018 huko Bolivia.

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini linaanza tarehe 9 -14 Julai 2018 huko Bolivia.

Kongamano la Kimisionari Amerika ya Kusini laanza kuwasha moto Bolivia

09/07/2018 15:48

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Kongamano la VI la Kimisionari Amerika ya Kusini anawakilishwa na Kardinali Fernando Filoni na kauli mbiu ya kongamano hili ni " Furaha ya Injili, kiini cha utume wa kinabii, chemchemi ya upatanisho Amerika ya Kusini."

Kardinali Filoni anasema watu wote watatangaziwa Injili, Habari Njema na kuwalikwa kuingia katika nyumba iliyo wazi kwa ajili ya kupunzika, sala, wema

Kardinali Filoni anasema watu wote watatangaziwa Injili, Habari Njema na kuwalikwa kuingia katika nyumba iliyo wazi kwa ajili ya kupunzika, sala, wema, neema, msamaha, mapatano na matumaini

Mahubiri ya Kard. Filoni kwa wajumbe wa Baraza la Kipapa la Kimisionari

04/06/2018 14:29

Neno la Mungu lililosomwa katika Liturujia ya Mtakatifu Justine shahidi,linatualika kutafakari juu ya uhusiano kati ya imani kwa Mungu,sala na utume katika maisha yetu.Hija ya kuelekea Mwezi Maalum wa Kimisionari 2019, tunahitaji kurudisha uwazi na lazima kuongeza zaidi imani katika  Bwana. 

 

Papa Francisko amekutana na wakurugenzi wa shughuli za kimisionari kutokana na fursa ya mkutano wao wa mwaka!

Papa Francisko amekutana na wakurugenzi wa shughuli za kimisionari kutokana na fursa ya mkutano wao wa mwaka!

Papa ahimiza upyaisho kiinjili katika matendo ya kimisionari !

01/06/2018 16:04

Tarehe 1 Juni 2018 Baba Mtakatifu Francisko, amekutana na wakurugenzi wa Shughuli za Kipapa za Kimisionari mjini Vatican na kuwakaribisha kwa furaha katika tukio la Mkutano Mkuu na hasa kushukuru hotuba ya utangulizi wa Kardinali Filoni,Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu 

 

Mpango mkakati wa Mwezi Oktoba 2019: Kutangaza, Kuadhimisha na Kushuhudia!

Mpango mkakati wa Mwezi Oktoba 2019: Kutangaza, Kuadhimisha na Kushuhudia imani inayomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili.

Mpango Mkakati Mwezi Oktoba 2019: Kutangaza, Kuadhimisha na Kushuhidia

01/06/2018 08:02

Kama sehemu ya maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 100 tangu Papa Benedikto XV alipochapisha Waraka wa Kitume "Maximum Illud" yaani "Kuhusu Shughuli za Kimisionari", Kanisa mwezi Oktoba 2019 linataka kutangaza Injili ya Kristo; Kuadhimisha vyema Sakramenti za Kanisa na Kutolea Ushuhuda makini.

Papa Francisko ametuma ujumbe kwa njia ya Video kwa washiriki wa Mkutano wa Utume wa kimisionari wa kipapa uliofunguliwa 28 Mei 2018

Papa Francisko ametuma ujumbe kwa njia ya Video kwa washiriki wa Mkutano wa Utume wa kimisionari wa kipapa, uliofunguliwa 28 Mei 2018

Papa Francisko ameeleza umuhimu wa utume wa kimisionari wa Kanisa!

28/05/2018 15:03

Baba Mtakatifu Francisko ametuma ujumbe wake kwa njia ya Video kwa ajili ya shughuli ya kipapa za kimisionari,(POM) kufuatia ufunguzi wa Mkutano wao mkuu wa mwaka, tarehe 28 Mei 2018.Katika ujumbe anaonesha kwa dhati umuhimu wa utume wa kimisionari wa Kanisa mahalia na ulimwengu!

 

 

Dhamana na utume wa Askofu ni: kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu.

Dhamana na utume wa Askofu ni: kufundisha, kuongoza na kuwatakatifuza watu wa Mungu.

Askofu mkuu Rugambwa asema, Askofu mpya ni alama ya upendo wa Mungu

15/05/2018 10:30

Askofu mkuu Protase Rugambwa anasema, uteuzi na hatimaye, kuwekwa wakfu kwa Askofu mpya ni alama ya upendo wa Mungu kwa waja wake. Kwa namna hii, Askofu hushika nafasi ya Kristo mwenyewe, aliye mwalimu, mchungaji na kuhani na kutenda kazi hii kwa nafsi ya Kristo!

Kardinali Filoni anawashukuru wamisionari wote wa Pime katika juhudi za utume duniani, wakati wa misa ya kumbukumbu ya mwenhe heri Padre Paulo Manna

Kardinali Filoni anawashukuru wamisionari wote wa Pime katika juhudi za utume duniani, wakati wa misa ya kumbukumbu ya mwenhe heri Padre Paulo Manna 16 Januari 2018

Kard.Filoni ameadhimisha Misa ya Sikukuu ya mwenyeheri Pd.Paulo Manna!

19/01/2018 09:24

Kardinali Fernando Filoni,Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu,tarehe 16 Januari 2018 wakati wa maadhimisho ya Misa Takatifu kwa wamisionari wa Pime,katika kumbukumbu ya Sikukuu ya Mwenyeheri Pd.Paulo Manna,amewashukuru wamisionari wote kwa jitihada zao duniani