Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali Christoph Schonborn

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti za Kanisa, Maisha Adili na Maisha ya Sala!

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa: Imani, Sakramenti za Kanisa, Maisha ya adili na Maisha ya sala; ni chombo madhubuti cha kufundishia imani na maadili!

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni chombo cha imani na Uinjilishaji mpya

27/12/2017 07:53

Katekisimu ya Kanisa Katoliki ni muhtasari wa Imani, Sakramenti za Kanisa, Maisha adili pamoja na Maisha ya sala! Ni chombo mahususi cha kufundishia na kurithisha imani na maadili; chombo madhubuti katika mchakato mzima wa Uinjilishaji mpya unaofumbatwa katika ushuhuda wenye mvuto na mashiko!

Kardinali Christoph Schonborn anasema Mtandao wa wabunge Wakatoliki Kimataifa ulianzishwa kunako mwaka 2010.

Kardinali Christoph Schonborn anasema, Mtandao wa wabunge Wakatoliki Kimataifa ulianzishwa kunako mwaka 2010.

Mtandao wa Wabunge Wakatoliki Kimataifa wakutana na Papa Francisko

28/08/2017 14:41

Mtandao wa Wabunge Wakatoliki Kimataifa ulianzishwa kunako mwaka 2010 ili kuwaunganisha wabunge wanaotaka kutekeleza dhamana na wajibu wao kama wabunge, huku wakijikita zaidi katika Mafundisho Jamii ya Kanisa katika mchakato wa kufanya maamuzi mbali mbali ndani na nje ya Bunge.

Wabunge Wakatoliki wajitahidi kuyafahamu Mafundisho Jamii ya Kanisa, ili wajenge madaraja ya majadiliano!

Wabunge Wakatoliki wajitahidi kuyafahamu Mafundisho Jamii ya Kanisa ili kusaidia kujenga madaraja ya kuwakutanisha watu.

Papa Francisko: Wabunge Wakatoliki jengeni madaraja ya majadiliano

28/08/2017 14:00

Baba Mtakatifu Francisko anawataka Wabunge Wakatoliki kufahamu vyema Mafundisho Jamii ya Kanisa ili waweze kujenga madaraja ya kuwakutanisha watu katika mchakato wa maamuzi mbali mbali bungeni; kwa kusimamia utu na heshima ya binadamu sanjari na kupinga utamaduni wa kifo!