Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali Berhaneyesus Demerew Souraphiel

Askofu mkuu Rugambwa anawataka Mababa wa AMECEA kurejea na kupyaisha Waraka wa Paulo VI "Africae Terrarum"

Askofu mkuu Protase Rugambwa anawataka Mababa wa AMECEA kufanya rejea na kupyaisha Waraka wa Mwenyeheri Paulo VI "Africae Terrarum" yaani "Bara la Afrika".

Askofu mkuu Rugambwa: AMECEA fanyeni rejea kwa Waraka Africae Terrarum

16/07/2018 14:47

Askofu mkuu Protase Rugambwa amewataka Mababa wa AMECEA katika mkutano wao wa 19 kufanya rejea tena kwenye Waraka wa Kitume ulioandikwa na Mwenyeheri Paulo VI "Africae Terrarum" unaobainisha: amana, utajiri, tunu msingi, changamoto na matumaini ya familia ya Mungu Barani Afrika!

Baraza la Kipapa la Mawasiliano litaendelea kushirikiana na AMECEA katika tasnia ya mawasiliano ya jamii.

Baraza la Kipapa la Mawasiliano litaendelea kushirikiana na AMECEA katika tasnia ya mawasiliano, amesema, Dr. Paolo Rufini, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Mawasiliano.

Baraza la Kipapa la Mawasiliano kuendelea kushirikiana na AMECEA

16/07/2018 10:01

Dr. Paolo Rufini, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Mawasiliano katika ujumbe wake kwa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati, AMECEA, amewahakikishia Mababa wa AMECEA kwamba, Vatican itaendelea kushirikiana na AMECEA katika tasnia ya mawasiliano ya jamii!

AMECEA inaadhimisha Mkutano mkuu wa 19 huko Addis Ababa, Ethiopia kuanzia tarehe 13-23 Julai 2018.

AMECEA inaadhimisha Mkutano mkuu wa 19 huko Addis Ababa nchini Ethiopia kwa kukazia hadhi sawa, umoja na amani ndani ya Mwenyezi Mungu kwenye Kanda ya AMECEA.

Mkutano Mkuu wa 19 wa AMECEA kutimua vumbi Addis Ababa, Ethiopia

11/07/2018 08:23

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati, AMECEA kuanzia tarehe 13-23 Julai 2018 linafanya mkutano wake mkuu wa 19 huko Addis Ababa nchini Ethiopia kwa kuongozwa na kauli mbiu "tofauti mtetemo, hadhi sawa, umoja wa amani ndani ya Mungu kwenye Kanda ya AMECEA.

Familia ya Mungu nchini Ethiopia imetakiwa kung'oa ndago za ukabila uchwara unaopandikiza mbegu ya utamaduni wa kifo.

Familia ya Mungu nchini Ethiopia imetakiwa kung'oa ndago za ukabila zinazopandikiza utamaduni wa kifo.

Ng'oeni ndago za ukabila uchwara unaopandikiza mbegu ya kifo!

22/02/2018 15:38

Viongozi wa Makanisa nchini Ethiopia wanaitaka familia ya Mungu nchini humo, kujizatiti zaidi katika kung'oa ndago za ukabila unaopandikiza mbegu ya utamaduni wa kifo. Huu ni wakati wa kuhakikisha kwamba watoto wanarithishwa: umoja, upendo, mshikamano na udugu, kwani wote ni Waethiopia.

Kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 125 ya upendo na huruma ya Mungu nchini Zambia.

Kilele cha maadhimisho ya Jubilei ya miaka 125 ya upendo na huruma ya Mungu nchini Zambia.

Zambia Miaka 125 ya huruma na upendo: Sasa ni muda wa ushuhuda!

20/07/2017 15:03

Familia ya Mungu nchini Zambia imeadhimisha kilele cha Jubilei ya miaka 125 ya upendo na huruma ya Mungu hapo tarehe 15 Julai 2017. Sasa waamini wanahamasishwa kuwa ni mashuhuda aminifu wa Kristo na Kanisa lake; kwa kulitegemeza Kanisa mahalia; kielelezo cha ukomavu wa imani!