Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali Beniamino Stella

Wito, maisha na utume wa Kipadre ni zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayohitaji majiundo makini ya awali na endelevu; kwa kusoma alama za nyakati.

Wito, maisha na utume wa Kipadre ni zawadi kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayohitaji majiundo makini ya awali na endelevu, daima kwa kuendelea kusoma alama za nyakati.

Upadre ni zawadi inayohitaji malezi, majiundo makini na endelevu!

14/03/2018 06:41

Baba Mtakatifu Francisko kama sehemu ya maadhimisho ya utangulizi wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, tarehe 16 Machi 2018 anakutana na wakleri pamoja na majandokasisi kutoka Roma ili kusikiliza: changamoto, dukuduku, shida na matumaini yao katika safari ya kuiendea Daraja Takatifu!

Kardinali Stella anawataka Wakleri kuwa kukesha katika: Sala, Sakramenti, Tafakari, Toba na Wongofu wa ndani!

Kardinali Stella anawataka wakleri kukesha katika: Sala, Sakramenti, Neno, Toba na Wongofu wa ndani kama ushuhuda wenye mvuto na mashiko katika maisha na utume wa Kipadre!

Kardinali Stella: Wakleri kesheni, msije mkajikuta mnamezwa na giza!

05/01/2018 09:46

Kardinali Stella anawaalika Wakleri kutoa kipaumbele cha kwanza kwa Kristo na Kanisa lake katika maisha na utume wao miongoni mwa familia ya Mungu. Wajitahidi kujenga na kudumisha uhusiano wao na Kristo Yesu kwa njia ya: Sala, Sakramenti, Tafakari, Toba na Wongofu wa ndani, ushuhuda amini!

Mwongozo wa Malezi ya Kipadre ni sehemu ya harakati za Mama Kanisa kusoma alama za nyakati kwa ajili ya majiundo ya Mapadre wake!

Mwongozo wa Malezi ya Kipadre ni sehemu ya harakati za Mama Kanisa kusoma alama za nyakati kwa ajili ya malezi na makuzi ya Mapadre wake.

Kongamano la Kimataifa: Malezi na mang'amuzi katika maisha ya kipadre

07/10/2017 16:43

Mwongozo wa Malezi ya Kipadre uliochapishwa kunako mwaka 2016 unafafanua kwa kina na mapana tasaufi, maisha, wito na utume wa padre mintarafu dhana ya kimisionari inayokaziwa na Baba Mtakatifu Francisko katika maisha na utume wa Kanisa! Haya ni malezi awali na endelevu!

Baba Mtakatifu Francisko anamwomba Mungu amjalie neema na baraka ya kulia pamoja na wale wanaoomboleza kutokana na sababu mbali mbali.

Baba Mtakatifu Francisko anamwomba Mwenyezi Mungu amjalie kipaji cha kulia na kuwaombolezea wale wanaoteseka kutokana na matatizo na shida mbali mbali.

Ni wanawake peke yao wenye ujasiri wa kusimama chini ya Msalaba

15/09/2017 12:39

Mama Kanisa kila mwaka ifikapo tarehe 15 Septemba anaadhimisha Kumbu kumbu ya Bikira Maria wa mateso. Mama wa Mungu na Kanisa alithubutu kusimama chini ya Msalaba na kushuhudia Mwanaye wa pekee, Kristo Yesu akikata roho! Akasali na kumwombolezea Mwanaye mpendwa!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi, maisha, utume na mambo msingi ya kuzingatiwa na Mapadre wenyewe!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi: awali na endelevu; maisha, wito na utume pamoja na mambo msingi wanayopaswa kuzingatiwa na Mapadre.

Mwaka wa Padre Tanzania: Uchambuzi wa malezi, maisha na utume wake!

12/08/2017 12:36

Familia ya Mungu nchini Tanzania inaadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara sanjari na Jubilei ya Miaka 100 tangu Tanzania ilipopata Mapadre wa kwanza wazalendo. Leo hii tunaangalia: malezi, maisha, utume na mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele cha kwanza na Mapadre!

Diplomasia ya Vatican inalenga kujenga na kudumisha umoja na mshikamano wa Jumuiya ya Kimataifa ili kukabiliana na changamoto mamboleo.

Diplomasia ya Vatican inalenga kujenga na kudumisha umoja na ushirikiano wa Jumuiya ya Kimataifa ili kukabiliana na changamoto mbali mbali zinazoibuliwa katika ulimwengu wa utandawazi na maendeleo ya sayansi na teknolojia.

Ziara ya Kardinali Parolin Russia inapania kujenga madaraja na amani

19/07/2017 15:48

Baba Mtakatifu Francisko katika sera na mikakati ya diplomasia ya Vatican anakazia kwa namna ya pekee umuhimu wa Jumuiya ya Kimataifa kujenga umoja na mshikamano unaosimikwa katika kanuni auni, ili kukabiliana na changamoto mbali mbali zinazoendelea kuibuliwa katika ulimwengu mamboleo!

Kuna umuhimu wa kuzingatia Mwongozo wa Malezi ya Kipadre.

Kuna umuhimu wa kuzingatia Mwongozo wa Malezi ya Kipadre.

Malezi na majiundo endelevu ya Kipadre ni muhimu sana!

13/07/2017 14:51

Kardinali Beniamino Stella anaendelea kukazia umuhimu wa kuzingatia Mwongozo wa Malezi ya Kipadre uliochapishwa hivi karibuni ili kuliwezesha Kanisa kupata watendaji kazi wema, watakatifu, waadilifu, wachamungu na wachapakazi; watu ambao wanaweza kujisadaka kwa ajili ya huduma kwa Kanisa!

Mapadri wachote nguvu ya maisha na utume wao kutoka kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu

Mapadri wachote nguvu ya maisha na utume wao kutoka kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu.

Kard. Stella, mapadri wajenge urafiki na Kristo

23/06/2017 13:40

Kanisa linapoadhimisha Sikukuu ya Moyo Mtakatifu wa Yesu, siku ya kuombea utakatifu wa Mapadri, Kardinali Beniamino Stella, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Wakleri anawaasa wakleri kujenga urafiki wa karibu na Kristo, kuishi udugu wa kipadri na kujitathimini utume wao.