Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali Antonio Luis Tagle.

Kard.Tagle:Tuwe chombo cha utetezi wa maisha,tumezaliwa na tutakufa bila uwezo!

11/01/2018 14:36

Maisha hayategemei kuwa tu na vitu na uwezo,kwani tumezaliwa bila kuwa na uwezo na wala kitu,hata tutakapokufa hatutachukua jambo lolote.Na kwa njia hiyo tujaribu kutafuta kuwa chombo cha utatezi wa maisha kwa ajili ya wengine.Ni maelezo ya Kardinali Luis A.Tagle Askofu Mkuu wa Jimbo la Manila 

 

Waamini wanapaswa kushikamana na Kristo katika sala na huduma kama ushuhuda wa imani tendaji!

Waamini wanapaswa kushikamana na Kristo Yesu katika sala na huduma kama kielelezo cha ushuhuda wa imani tendaji!

Mbinu mkakati wa uinjilishaji mpya unaojikita katika ushuhuda makini!

28/12/2017 07:51

Ili kuweza kujenga na kudumisha mchakato wa uinjilishaji mpya wenye tija na mafanikio makubwa kuna haja kwa Wakristo kufahamu mafundisho tangu ya Kanisa; kujikita katika umoja, upendo na mshikamano katika sala na huduma inayomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili hasa kwa maskini!

Papa Francisko amezindua kampeni ya "Shiriki safari" na wakimbizi na wahamiaji duniani.

Papa Francisko amezindua kampeni ya Caritas Internationalis "Shiriki safari" pamoja na wakimbizi.

Papa Francisko azindua kampeni ya "Shiriki safari" na wahamiaji

28/09/2017 10:33

Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Kimataifa limezindua kampeni ya upendo na ukarimu kwa wahamiaji na wakimbizi sehemu mbali mbali za dunia, ili kuonesha upendo na mshikamano; kusimamia haki msingi za wakimbizi na wahamiaji pamoja na kulinda utu na heshima yao kama binadamu!

Baba Mtakatifu Francisko baada ya katekesi amezindua Kampeni ya Caritas kwa ajili ya kuhamasisha huduma ya Binadamu katika jamii

Baba Mtakatifu Francisko baada ya katekesi amezindua Kampeni ya Caritas kwa ajili ya kuhamasisha huduma ya Binadamu katika jamii

Uzinduzi wa Kampeni ya Caritas kwa ajili ya kushirikishana safari

27/09/2017 16:07

Mara baada ya Katekesi yake baba Mtakatifu Francisko amezindua Kampeni ya Caritas yenye kauli mbiu "Kushirikishana safari". Anawashukuru kwa jitihada zao za kutoa  huduma bila kuchoka. Katika jitihada za kila siku anaongeza Baba Mtakatifu, wao wanakutana na Kristo mwenyewe katika ndugu

 

 

Papa Francisko anatarajiwa kuzindua kampeni ya ukarimu na mshikamano kwa wahamiaji na wakimbizi, Septemba, 27, 2017.

Papa Francisko anatarajiwa kuzindua kampeni ya huduma na ushirikiano kwa wakimbizi na wahamiaji hapo tarehe 27 Septemba 2017.

Papa Francisko kuzindua kampeni ya upendo na mshikamano na wahamiaji

27/07/2017 14:36

Baba Mtakatifu Francisko anasema, maisha yanayofumbatwa katika imani kwa Kristo na Kanisa lake, yawasaidie waamini kutambua uhalisia wa maisha; utu na heshima; matatizo na changamoto anazokabiliana nazo binadamu katika hija ya maisha yake ya kila siku ili kuthamini utu na heshima yake!

Waamini na watu wote wenye mapenzi mema mema wanapaswa kubomoa kuta za utengano kwa njia ya toba na msamaha wa kweli!

Waamini na watu wote wenye mapenzi mema wanaweza kubomoa kuta za utengano kwa njia ya toba na msamaha wa dhambi zao.

Msamaha na upatanisho wa kweli uvunje kuta za utengano kati ya watu!

08/06/2017 12:12

Waamini wanapaswa kumwomba Roho Mtakatifu ili aweze kuwakirimia ujasiri na kipaji cha nguvu ili kuvunjilia mbali kuta za utengano zinazoendelea kujengwa miongoni wa watu wa mataifa kutokana na vita, kinzani na mipasuko ya kidini, kisiasa, kikabila na kijamii, inayojenga hofu na mashaka!

Caritas Internationalis linawataka waamini na watu wote wenye mapenzi mema kuonesha upendo na mshikamano na wakimbizi wanaotafuta hifadhi na usalama

Caritas Internationalis inawataka waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujenga mshikamano wa upendo pamoja na wakimbizi wanaotafuta, hifadhi, usalama na ustawi wa maisha yao.

Onesheni mshikamano wa upendo kwa wakimbizi na wahamiaji!

17/04/2017 13:25

Shirikisho la Mashirika ya Misaada ya Kanisa Katoliki Kimataifa linawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kujenga na kushuhudia utamaduni wa upendo na mshikamano kwa wakimbizi na wahamiaji wanaotafuta hifadhi, usalama na maisha bora zaidi, badala ya kuwawekea ukuta!

Kongamano la nne la huruma ya Mungu Duniani kwa Mwaka 2017 ni fursa ya kusimama kidete kutetea Injili ya uhai inayomwilishwa katika huruma ya Mungu.

Kongamano la nne la huruma ya Mungu Duniani kwa Mwaka 2017 ni mwaliko kwa waamini kusimama kidete kushuhudia Injili ya uhai inayomwilishwa katika huruma ya Mungu.

Waamini simameni kidete kutetea Injili ya uhai na kushuhudia huruma!

19/01/2017 15:27

Maadhimisho ya Kongamano la Nne la Huruma ya Mungu Duniani huko Ufilippini ni fursa ya kufanya hija ya huruma ya Mungu katika maisha ya mwanadamu, tayari kuambata na kushuhudia Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo sanjari na kuwa mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu!