Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kardinali Angelo Bagnasco

Utandawazi usiokuwa na mashiko ni kichaka cha uchu wa mali na madaraka; biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo!

Utandawazi usiokuwa na mvuto wala mashiko ni kichaka cha uchu wa mali na madaraka, biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo, mambo yanayodhalilisha utu na heshima ya binadamu!

Utandawazi wa mshikamano katika maisha na utume wa Kanisa!

25/04/2018 07:16

Utandawazi ni mchakato unaogusa maisha ya mtu mzima: kiroho na kimwili; unagusa na kutikisa maisha ya mtu binafsi, familia na jamii katika ujumla wake. Utandawazi una tabia ya kujielekeza zaidi katika maisha ya kitamaduni, kiuchumji, kisiasa na hata kidini. Utandawazi wa mshikamano unahitajika!

Maaskofu Barani Ulaya wanataka kuwekeza zaidi kwa vijana na tunu msingi za maisha ya ndoa na familia ya Kikristo!

Maaskofu Barani Ulaya wanataka kuwekeza zaidi katika utume kwa vijana na kwenye tunu msingi za maisha ya ndoa na familia.

Maaskofu na hatima ya vijana Barani Ulaya!

02/10/2017 10:21

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Barani Ulaya, Ccee, linataka kuwekeza zaidi katika majiundo makini kwa vijana wa kizazi kipya ili kuwajengea uwezo wa kupambana na changamoto za maisha kwa njia ya imani makini sanjari na kujikita katika tunu msingi za Injili ya familia!

Wakleri na watawa wa Jimbo kuu la Genova wamepokea changamoto na mwaliko wa Baba Mtakatifu wa kuwa kweli ni mashuhuda wa furaha ya Injili kati ya watu

Wakleri na watawa wa Jimbo kuu la Genova wamepokea changamoto na mwaliko wa Baba Mtakatifu Francisko wa kuwa kweli ni vyombo na mashuhuda wa furaha ya Injili kwa watu wa Mataifa.

Wakleri na watawa wanataka kuwa ni mashuhuda wa furaha ya Injili!

28/05/2017 15:02

Kardinali Angelo Bagnasco, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Genova, Kaskazini mwa Italia anasema, wakleri na watawa wameitikiwa kwa moyo mkunjufu kabisa changamoto inayotolewa na Baba Mtakatifu ya kutoka kifua mbele ili kutangaza na kushuhudia furaha ya Injili kwa watu wa Mataifa!

Utu, heshima, haki msingi za binadamu na uchumi shirikishi ni mambo msingi katika mafundisho jamii ya Kanisa.

Utu, heshima, haki msingi za binadamu ni kati ya mambo msingi yanayopewa kipaumbele cha pekee katika Mafundisho Jamii ya Kanisa.

Papa: ajira, utu na heshima ya binadamu ni muhimu katika uchumi

28/05/2017 14:47

Baba Mtakatifu Francisko anasema, mafundisho Jamii ya Kanisa yamekuwa yakitoa kipaumbele cha pekee kwa utu, heshima ya binadamu pamoja na haki zake msingi kama vigemo muhimu sana katika sera na mikakati ya uchumi shirikishi ili kutengeneza fursa za ajira, kielelezo cha utimilifu wa utu wa mtu!

Kardinali Bagnasco anasema, vijana wana imani na matumaini ya Khalifa wa Mtakatifu Petro.

Kardinali Angelo Bagnasco anasema, vijana wana imani na matumaini kwa Khalifa wa Mtakatifu Petro.

Vijana wana imani na matumaini kwa Kanisa la Kristo!

28/05/2017 14:00

Kardinali Angelo Bagnasco, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la genova, Italia anasema kwamba, vijana wengi wa kizazi kipya Jimboni mwake wana imani na matumaini kwa Khalifa wa Mtakatfu Petro na Kanisa la Kristo na kwamba, wanataka kujenga mshikamano wa dhati katika maisha na utume wao.

Papa Francisko anawaalika vijana kujitahidi kukutana na Kristo Yesu katika maisha yao ili awagange na kuwaponya katika mahangaiko yao.

Papa Francisko anawaalika vijana wa kizazi kipya kujitahidi kukutana na Kristo Yesu katika hija ya maisha yao ili aweze kuwaganga na kuwaponya katika shida na mahangaiko yao.

Wosia wa Baba Mtakatifu Francisko kwa vijana wa kizazi kipya!

28/05/2017 13:44

Baba Mtakatifu Francisko anawataka vijana wa kizazi kipya kujenga na kudumishaz utamaduni wa sala, tafakari na matendo ya huruma kwa jirani zao! Ikiwa kama kweli wanataka kuwa ni wamissionari wanapaswa kuwapenda, kuwathamini na kujisadaka kwa ajili ya vijana wenzao wenye shida na mateso!

Hija ya Papa Francisko Jimbo kuu la Genova limekuwa ni tukio la imani kwani waamini wamejiandaa kwa sala, sadaka na matendo ya huruma kwa jirani zao.

Hija ya Papa Francisko Jimbo kuu la Genova, limekuwa ni tukio la imani kwani waamini wamejiandaa kikamilifu kwa sala na matendo ya huruma, kielelezo cha imani tendaji.

Hija ya Papa Francisko Jimboni Genova ni tukio la kiimani!

28/05/2017 13:08

Familia ya Mungu Jimbo kuu la Genova inamshukuru na kumpongeza Baba Mtakatifu Francisko kwa kuitembelea ili kuiimarisha katika imani, matumaini na mapendo na kwamba, hili limekuwa ni tukio la imani ambalo limeandaliwa kwa sala, sadaka na matendo ya huruma, kielelezo cha imani tendaji!

 

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Kardinali Gualtiero Bassetti kuwa Rais mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia.

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Kardinali Gualtiero Bassetti kuwa Rais mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia.

Kardinali Gualtiero Bassetti ateuliwa kuwa Rais Mpya wa CEI

24/05/2017 16:37

Katika maadhimisho ya mkutano wa 70 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia, Baba Mtakatifu Francisko amemteua Kardinali Gualtiero Bassetti, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Pergia, kuwa Rais Mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia na hivyo anachukua nafasi ta Kardinali Bagnasco aliyeng'atuka!