Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Marc Ouellet

Mwanaume na mwanamke wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu na wanakamilisha katika maisha na wito wao!

Mwanaume na mwanamke wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu na wanakamilishana katika maisha na wito wao kwa kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia.

Mwanaume na mwanamke wanakamilishana kama sura na mfano wa Mungu

12/03/2018 12:15

Kardinali Marc Ouellet anasema, mwanaume na mwanamke kadiri ya mpango wa Mungu wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu ili kukamilishana. Kwa pamoja wanawajibika kukuza na kudumisha tunu msingi za maisha ya ndoa na familia ambazo kwa sasa zinakabiliwa na changamoto kubwa duniani!

Wanawake Amerika ya Kusini ni majembe ya nguvu katika ujenzi wa Kanisa na Jamii katika ujumla wake, lakini wanakabiliwa na changamoto nyingi!

Wanawake Amerika ya Kusini ni majembe ya nguvu katika ujenzi wa Kanisa na Jamii katika ujumla wake, lakini wanakabiliwa na changamoto pevu katika utekelezaji wa dhamana na majukumu yao ya kila siku!

Wanawake ni majembe ya nguvu katika ujenzi wa Kanisa Amerika ya Kusini

05/03/2018 07:00

Dhamana, wajibu, changamoto na matatizo wanayokabiliana nayo wanawake Amerika ya Kusini ndicho kiini cha mkutano wa Tume ya Kipapa kwa ajili ya Amerika ya Kusini inayoanza kikao chake mjini Vatican kuanzia tarehe 6-9 Machi 2018 kwa kuwashirikisha wanawake ili kujadili mustakabali wao!

Kanisa nchini Australia linapitia katika kipindi kigumu cha historia, maisha na utume wake.

Kanisa nchini Australia linapitia katika hali ngumu sana ya maisha, historia na utume wake.

Hali ya maisha na utume wa Kanisa nchini Australia

09/10/2017 09:48

Kanisa Katoliki nchini Australia linapitia kipindi kigumu kidogo cha historia, maisha na utume wake, baada ya baadhi ya viongozi wakuu wa Kanisa kuhusisha na kashfa za nyanyaso za kijinsia dhidi ya watoto wa dogo! Baraza la Maaskofu Katoliki Australia linaendelea kujiimarisha katika ushuhuda!