Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Manuel Clemente

Utandawazi usiokuwa na mashiko ni kichaka cha uchu wa mali na madaraka; biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo!

Utandawazi usiokuwa na mvuto wala mashiko ni kichaka cha uchu wa mali na madaraka, biashara haramu ya binadamu na utumwa mamboleo, mambo yanayodhalilisha utu na heshima ya binadamu!

Utandawazi wa mshikamano katika maisha na utume wa Kanisa!

25/04/2018 07:16

Utandawazi ni mchakato unaogusa maisha ya mtu mzima: kiroho na kimwili; unagusa na kutikisa maisha ya mtu binafsi, familia na jamii katika ujumla wake. Utandawazi una tabia ya kujielekeza zaidi katika maisha ya kitamaduni, kiuchumji, kisiasa na hata kidini. Utandawazi wa mshikamano unahitajika!

SECAM na CCEE yanajadili kuhusu changamoto za utandawazi, utu, heshima ya binadamu na ekolojia.

SECAM na CCEE yanajadili kuhusu athari za utandawazi, utu na heshima ya binadamu pamoja na ekolojia.

SECAM na CCEE yanajadiliana kuhusu changamoto za utandawazi!

12/04/2018 06:58

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika na Madagascar, SECAM pamoja na Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Ulaya, CCEE yanadiliana kwa kina na mapana kuhusu changamoto za utandawazi, wimbi kubwa la wakimbizi na wahamiaji, utu na heshima ya binadamu pamoja na ekolojia!

Kongamano la kwanza la Ekaristi Takatifu Kitaifa nchini Angola ni kuanzia tarehe 12-18 Juni 2017

Kongamano la Kwanza la Ekaristi Takatifu Kitaifa nchini Angola limezunduliwa tarehe 12 hadi 18 Juni 2017.

Kongamano la Kwanza la Ekaristi Takatifu Kitaifa nchini Angola!

12/06/2017 11:34

Kardinali Manuel Clemente, Patriaki wa Jimbo kuu la Lisbon, Ureno anamwalikisha Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Kongamano la Kwanza la Ekaristi Takatifu Kitaifa nchini Angola, litakalofikia kilele chake wakati wa Sherehe za Ekaristi Takatifu, tarehe 18 Juni 2017.