Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Lorenzo Baldisseri

Baba Mtakatifu Francisko anatumia njia ya mitandao ya kijamii kama Tweet kuwasiliana na vijana moja kwa moja

Baba Mtakatifu Francisko anatumia njia ya mtandao ya kijamii kama Tweet kuwasiliana na vijana moja kwa moja

Ingia Tovuti ya Youthsynod2018.va kwa ajili ya vijana ufunguke!

14/08/2017 09:38

Kardinali Baldisseri Katibu Mkuu wa Sinodi ya Maaskofu anaungana na mpango wa Baba Mtakatifu Francisko katika kutoa ujumbe wa tweet kwa vijana kwa njia ya mitandao ya kijamii.Hiyo ni njia ya Baba Mtakatifu kuweza kuongea na vijana moja kwa moja kwa njia za mitandao ya kijamii.

 

Wazazi na walezi wanayo dhamana ya kurithisha imani, maadili na utu wema miongoni mwa vijana wa kizazi kipya!

Wazzi na walezi wanayo dhamana na jukumu la kuhakikisha kwamba, wanarithisha imani, maadili na utu wema miongoni mwa vijana wa kizazi kipya!

Wazazi na walezi warithisheni watoto wenu imani, maadili na utu wema!

27/07/2017 14:57

Maadhimisho ya Kumbu kumbu ya Watakatifu Yoakim na Anna wazazi wake Bikira Maria, Mama wa Mungu na Kanisa, imekuwa ni fursa ya kuwahimiza wazazi, walezi na wahenga kuhakikisha kwamba, wanatekeleza dhamana na wajibu wao barabara kwa kurithisha imani, maadili na utu wema!

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wazee ni hazina ya jamii katika kurithisha imani,  maadili na utu wema.

Baba Mtakatifu Francisko anasema, wazee ni watu muhimu sana katika kurithisha imani, maadili na utu wema.

Wahenga ni hazina ya jamii katika kurithisha tunu msingi za kijamii

26/07/2017 15:36

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya kumbu kumbu ya watakatifu Yoakim na Anna wazazi wake Bikira Maria Mama wa Mungu na Kanisa anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kuwaheshimu, kuwaenzi na kuwathamini wahenga kama hazina ya jamiii husika!

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Injili ya familia ni furaha ya ulimwengu!

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Injili ya familia ni furaha ya ulimwengu.

Tuzungumzie tunu msingi za kifamilia, ili tujenge familia imara!

25/07/2017 07:56

Maadhimisho ya Siku ya Familia Duniani kwa Mwaka 2018 huko Dublin, Ireland kuanzia tarehe 21 - 26 Agosti 2018 yataongozwa na kauli mbiu "Injili ya familia, furaha ya ulimwengu". Ni maadhimisho yanayongozwa na tafakari ya Waraka wa kitume: "Furaha ya upendo ndani ya familia".

Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, Kanisa linataka kuchonga na kuwasikiliza vijana wa kizazi kipya!

Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana, Kanisa linataka kuchonga na kuwasikiliza vijana wa kizazi kipya!

Sinodi ya Maaskofu: Kanisa linataka kuchonga na kuwasikiliza vijana!

20/07/2017 14:27

Maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana yatakayofanyika mjini Vatican mwezi Oktoba, 2018 ni fursa muhimu sana kwa Kanisa kujenga utamaduni wa kuwasikiliza na kuwasindikiza vijana katika hija ya maisha yao, ili hatimaye waweze kufikia ukomavu wa kufanya maamuzi magumu!

Papa Francisko anawakumbusha vijana kwamba, wao ni wadau wakuu wa Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana 2018.

Papa Francisko anawakumbusha vijana kwamba, wao ni wadau wakuu katika maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana kwa mwaka 2018.

Sinodi ya Maaskofu: Vijana chakarikeni vyema ninyi ni wadau wakuu!

20/05/2017 12:32

Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha vijana kwamba, wao ndio wadau wakuu wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana itakayoadhimishwa Mwezi Oktoba, 2018. Vijana wanakumbushwa kwamba wao ndio wadau wakuu wa mcahakto wote wa Sinodi ya Maaskofu!

Vijana, Imani na Mang'amuzi ya Miito & Furaha ya upendo ndani ya famili; ni msingi wa Sinodi ya Maaskofu 2018.

Vijana, Imani na Mang'amuzi ya Miito ni msingi wa maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu wa Vijana kwa mwaka 2018, ili kuwasaidia vijana kufanya maamuzi magumu katika maisha yao"!

Kardinali Baldisseri: maadhimisho ya Sinodi kwa jicho la kichina!

18/05/2017 10:27

Wosia wa Kitume wa Baba Mtakatifu Francisko "Furaha ya upendo ndani na familia" na Kauli mbiu ya maadhimisho ya Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana yaani "Vijana, Imani na Mang'amuzi ya Miito" ni nyenzo msingi katika maandalizi ya maisha na utume wa vijana wa kizazi kipya kwa sasa!

Kanisa linataka kuandamana, kuwasikiliza na kuafunda vijana wa kizazi kipya kuwajibika vyema!

Kanisa linataka kuandama, kuwasikiliza, kuwafunda na kuwajengea vijana uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha, ili kusaidia kuitengeneza dunia iweze kuwa ni mahali pazuri zaidi pa kuishi!

Sinodi ya Maaskofu: Ni kwa ajili ya vijana pamoja na vijana!

07/04/2017 13:30

Sinodi ya Maaskofu kwa ajili ya vijana inayoongozwa na kauli mbiu "Vijana, Imani na Mang'amuzi ya miito" ni nafasi maalum kwa Mama Kanisa kuwasikiliza, kuandamana na kuwafunda vijana wa kizazi kipya ili kuweza kukabiliana na changamoto za maisha mintarafu mwanga wa Injili. Ni wakati wa vijana!