Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Leonardo Sandri

Umaskini, vita, ghasia, nyanyaso na dhuluma ni dalili za kunyauka kwa Injili ya upendo duniani!

Umaskini, vita, nyanyaso na dhuluma ni dalili za kunayuka kwa Injili ya upendo duniani.

Ubaridi wa upendo ni chanzo kikuu cha mateso na nyanyaso za watu!

07/02/2018 07:28

Kardinali Leonardo Sandri anasema, Mashariki ya Kati ni eneo ambalo limejiri sana Mashuhuda wa imani kwa Kristo na Kanisa lake! Hawa ni watu wanaoteseka na kunyanyaswa kutokana na umaskini, vita, kinzani na mipasuko ya kijamii na kidini, kiasi hata cha kusababisha ubaridi wa upendo kwa jamii.

Kanisa linatangaza na kufundisha kuhusu uhuru na haki ya kidini kama msingi wa haki zote za binadamu!

Kanisa linatangaza na kufundisha kuhusu uhuru wa kidini kama msingi wa haki zote za binadamu!

Uhuru wa kuabudu ni nguzo ya haki msingi za binadamu!

02/02/2018 07:45

Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican walikazia sana umuhimu wa kujenga utamaduni wa kuheshimu utu wa binadamu na haki zake msingi, mambo yanayojenga na kuimarisha mafungamano ya kifamilia na kijamii, ili kukuza na kudumisha ukweli, haki na mapendo, kwa kuzingatia dhamiri nyofu!

Jifunze Vema Mafundisho Jamii ya Kanisa ili kukabiliana na changamoto za kijamii mara mtakapomaliza mafunzo yenu hapa Roma

Jifunze Vema Mafundisho Jamii ya Kanisa ili kukabiliana na changamoto za kijamii mara mtakapomaliza mafunzo yenu hapa Roma

Papa:Jifunze Vema Mafundisho Jamii ya Kanisa ili kukabiliana na changamoto!

09/11/2017 16:05

Waseminari na makuhani wa Ukraine wanatakiwa kujifunza vema Mafundisho Jamii ya Kanisa Katoliki,ili iwasaidie kukabiliana na changamoto katika nchi yao.Hiyo ni kwasababu katika siku za usoni watatakiwa kutafuta haki amani dhidi hali ya kijamii kama vile ifisadi au sera mbaya za siasa

 

Tarehe 12 Oktoba 2017 Baba Mtakatifu Francisko ametembelea Taasisi ya kipapa  kwa ajili nchi za  Mashariki na kuadhimisha misa Takatifu

Tarehe 12 Oktoba 2017 Baba Mtakatifu Francisko ametembelea Taasisi ya kipapa kwa ajili nchi za Mashariki na kuadhimisha misa Takatifu

Papa:Mara ngapi tumezoe kuuliza maswali kwanini mbele ya Mungu?

12/10/2017 15:53

Baba Mtakatifu wakati wa Misa Takatifu ya kuadhimisha miaka 100 ya Baraza la Kipapa kwa ajili ya Makanisa ya Mashariki amemaliza mahubiri yake akiwataka wote kijifunza kubisha hodi katika moyo wa Munguna kujifunza kuwa jasiri,kwa njia hiyo matunda yatakuwepo kwa wakati wake

 

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriani na Taasisi ya Biblia, Baba Mtakatifu anasisitiza kuwa, kuna hata Taasisi ya Mashariki

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriana na Taasisi ya Biblia, Baba Mtakatifu anasisitiza kuwa, kuna hata Taasisi ya Mashariki

Ujumbe wa Papa kwa Miaka 100 ya Baraza la Kipapa kwa Makanisa ya Mashariki

12/10/2017 15:36

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriani naTaasisi ya Biblia,Baba Mtakatifu anasisitiza kuna hata Taasisi ya Mashariki inapaswa kutambuliwa kwa wote.Kuna umuhimu wa kuhakikisha Taasisi inakuwa thabiti kwa walezi wa Kiyesuit kwa kuwasadia katika malezi yao

 

 

Picha ya pamoja na Kard. Sandri wakati wa kuitimisha ziara yake nchini Romania

Picha ya pamoja na Kard. Sandri wakati wa kuitimisha ziara yake nchini Romania

Kard. Sandri amehitimisha ziara yake ya kitume nchini Romania

03/10/2017 15:30

Naye Kardinali Sandri katika mahubiri yake anasema,kutoa sadaka katika maisha ndiyo njia mwalimu na  kuwa waaminifu wa leo katika kurithi imani iliyooneshwa na mababa na walimu wa imani,japokuwa haitoshi tu kutazama ushahidi wao au  kuufanya utambulike iwapo hauti nyayo zao

Kard. Sandri yuko Ziara ya Kitume nchini Romania tangu 28 hadi 1Oktoba 2017

Kard. Sandri yuko Ziara ya Kitume nchini Romania tangu 28 hadi 1Oktoba 2017

Kard. Sandri:Tuwe na utambuzi wa Malaika wakuu wasaidizi wa Mungu

30/09/2017 16:25

Kardinali Sandri yuko Ziara nchini Romania tangu tarehe 27 jioni hadi  siku ya Jumapili tarehe 1 Oktoba 2017.Katika Kusheherekea sikuku ya Malaika wakuu,Michaeli,Rafaeli na Gabrieli,ameadhimisha misa katika Kanisa Kuu la Mtaktifu Maria huko Bucarest nchini Romania tarehe 29 Septemba

 

28 Septemba hadi 1 Oktoba Kard Sandri anafanya ziara yake nchini Romania akikutana na hali  halisi ya matendo ya upendo  na kubariki makanisa.

28 Septemba hadi 1 Oktoba Kard Sandri anafanya ziara yake nchini Romania akikutana na hali halisi ya matendo ya upendo na kubariki makanisa.

Kardinali L. Sandri anafanya Ziara yake katika nchi ya Romania

28/09/2017 17:04

Kuanzia usiku wa tarehe 28 Septemba  hadi Jumapili 1Oktoba Kardinali Leonardi Sandri  Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili Makanisa ya Mashariki anafanya ziara katika nchi ya Romania. Ziara yake ni katika tukio kuadhimisha miaka mia moja ya Baraza la Makanisa la Mashariki.