Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Gualtiero Bassetti, Jimbo kuu la Perugia

Vijana wanahitaji kusindikizwa ili wasikosee mang'amuzi ya miito yao

Vijana wanahitaji kusindikizwa ili wasikosee mang'amuzi ya miito yao

Kardinali Bassetti anasema vijana wasaidiwe katika miito yao ya maisha!

04/01/2018 14:57

Kwa vijana inahitajika kuwasha cheche za matumaini ya kujitoa na si kujifunga binafsi.Kujitwika mzigo kwa upendo na kuwasaidia wengine: bahati mbaya kadiri siku zinavyokwenda mbele,upo utambuzi kwamba,wapo vijana ambao ni kama sehemu za pembezoni,wenye kuhitaji msaada wa maisha.

 

Kardinali Bassetti katika ripoti ya kwenye Mkutano Mkuu wa Braza la Maaskofu Italia anasisitiza juu ya kuwalinda, kuhamasisha na kushirikisha wahamiaj

Kardinali Bassetti katika ripoti ya kwenye Mkutano Mkuu wa Baraza la Maaskofu Italia anasisitiza juu ya kuwalinda, kuhamasisha na kushirikisha wahamiaji

Wakristo wa Kanisa Italia wanaalikwa kutoa huduma ya binadamu

26/09/2017 15:52

Kardinali Gualtiero Bassetti Mwenyekiti wa Baraza la Maakofu wa Italia,katika Ripoti ya Mkutano Mkuu wa Mwaka anasema;wakristo wote wameitwa katika huduma ya binadamu mwenye majeraha, ndiyo hiyo maana ya Kanisa la Kimisionari.Utume wa kikristo ni kutangaza Injili yake kwa furaha na vitendo

 

Kanisa Katoliki limempoteza Ask. Mkuu mstaafu Kard. Carlo Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna aliye aga dunia tarehe 6 Septemba 2017

Kanisa Katoliki limempoteza Ask. Mkuu mstaafu Kard. Carlo Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna aliye aga dunia tarehe 6 Septemba 2017

Ask. Mkuu mstaafu Kard. C. Caffarra wa Jimbo Kuu Bologna Italia ameaga dunia

07/09/2017 14:37

Tarehe 6 Septemba 2017 Jimbo Kuu Katoliki la Bologna nchini Italia limempoteza Askofu Mkuu msataafu Kard. Carlo Caffarra.Maisha yake ya katika wito yamemwongoza hadi kufikia siku yake ya mwisho ya kurudi kwake Mungu.Atakumbukwa katika utaalamu wa mafunzo ya familia na ndoa

 

Taarifa zinaonesha kwamba, kuna wakimbizi na wahamiaji ambao kwa sasa wanazamishwa baharini ili kufuta ushahidi dhidi ya wafanya biashara ya binadamu!

Taarifa zinaonesha kwamba, kuna wakimbizi na wahamiaji wanaozamishwa baharini ili kufuta ushahidi dhidi ya wafanyabiashara ya binadamu!

Changamoto mamboleo: fursa za ajira na huduma makini kwa wakimbizi!

11/08/2017 13:45

Baraza la Maaskofu Katoliki Italia linasema, kwa sasa changamoto kubwa inayoikabilia Jumuiya ya Kimataifa ni fursa za ajira kwa wafanyakazi, ili waweze kutekeleza dhamana na wajibu wao barabara sanjari na huduma makini kwa wakimbizi na wahamiaji wanaotafuta: usalama, hifadhi na maisha bora zaidi.

Wazazi wa Marehemu mtoto Charlie Gard wa Uingereza watakumbukwa kwa kusimama kidete kupinga utamaduni wa kifo!

Wazazi wa Marehemu Mtoto Charlie Gard watakumbukwa katika huistoria kwa kusimama kidete kupinga utamaduni wa kifo.

Kifo cha Mtoto Charlie Gard, kimewagusa na kuwatikisa watu wengi!

29/07/2017 14:19

Familia ya Bwana na Bibi Chris Gard na mkewe Connie Yates itabaki kuwa ni mfano bora wa kuigwa katika mapambano dhidi ya utamaduni wa kifo unaokumbatiwa na sera za kifo laini. Ni wazazi ambao wamejitahidi kadiri ya uwezo wao kuendeleza maisha ya mtoto wao hadi dakika ya mwisho!

Vipaumbele vya kichungaji: Furaha ya Injili; Upendo wa familia; utunzaji wa mazingira, utu na heshima ya binadamu.

Vipaumbele vya kichungaji: Furaha ya Injili; Upendo na tunu msingi za maisha ya ndoa na familia; utunzaji bora wa mazingira; utu na heshima ya binadamu!

Mkazo wa kichungaji: Furaha ya Injili na familia; mazingira na utu!

22/07/2017 14:18

Nyaraka kuu za kichungaji zilizotolewa na Baba Mtakatifu Francisko zinawamasisha waamini kusimama kidete kutangaza na kushuhudia Furaha ya Injili; kuwa vyombo na mashuhuda wa furaha ya upendo inamwilishwa ndani ya familia pamoja na kusimamia utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote!

Ujumbe wa vatican umetembelea Ikulu ya Italia, tarehe 10 Juni 2017.

Ujumbe wa Vatican umetembelea Ikulu ya Italia, tarehe 10 Juni 2017.

Ujumbe wa Vatican watembelea Ikulu ya Italia!

10/06/2017 16:03

Ujumbe mzito kutoka Vatican umemtembelea Rais Sergio Mattarella wa Italia aliyekutana na kuzungumza na Baba Mtakatifu Francisko kwanza kwa faragha na hatimaye, wote kwa pamoja wakatoa hotuba zao mbele ya ujumbe wa Vatican na Serikali ya Italia inayoongozwa na Rais Sergio Mattarella.

 

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Kardinali Gualtiero Bassetti kuwa Rais mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia.

Baba Mtakatifu Francisko amemteua Kardinali Gualtiero Bassetti kuwa Rais mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia.

Kardinali Gualtiero Bassetti ateuliwa kuwa Rais Mpya wa CEI

24/05/2017 16:37

Katika maadhimisho ya mkutano wa 70 wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia, Baba Mtakatifu Francisko amemteua Kardinali Gualtiero Bassetti, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Pergia, kuwa Rais Mpya wa Baraza la Maaskofu Katoliki Italia na hivyo anachukua nafasi ta Kardinali Bagnasco aliyeng'atuka!