Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Gianfranco Ravasi

Papa Francisko, amekutana na kuzungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kukazia elimu na malezi bora!

Papa Francisko amekutana na kuzungumza na watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi kwa kukazia umuhimu wa malezi na elimu kwa makuzi na malezxi ya waoto.

Watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakutana na Papa! Yaani...!

11/06/2018 13:50

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na kuzungumza na watoto wanaotoka katika mazingira magumu na hatarishi. Amekazia umuhimu wa familia na shule kama vitovu muhimu kwa malezi na makuzi ya watoto. Amewataka watoto kujikita zaidi katika elimu, ili kutumia vyema akili, nyoyo na mikono hayo!

Jukwaa la sayansi ya tiba ya mwanadamu kuwakutanisha vigogo wa sayansi, watunga sera, viongozi wa serikali na kidini.

Jukwa la sayansi ya tiba ya mwanadamu litakalofanyika mjini Vatican kuanzia tarehe 26- 28 Aprili 2018 litawakutanisha vigogo wa sayansi, watunga sera, viongozi wa serikali na wa kidini ili kuibua mpango mkakati wa maboresho ya huduma ya afya duniani.

Vigogo wa sayansi ya afya ya binadamu na watunga sera kukutana Vatican

02/03/2018 14:08

Jukwaa la sayansi ya afya ya binadamu litakalowakutanisha vigogo wa sayansi, watunga sera, viongozi wa serikali na dini linatarajiwa kufanyika mjini Vatican kuanzia tarehe 26- 28 Aprili 2018 kwa kuongozwa na kauli mbiu "Mpango mkakati wa maboresho ya huduma ya afya". Hii ni changamoto endelevu.

 

Mfuko wa Joseph Ratzinger, Benedikto XVI unapania kukuza na kudumisha majadiliano ya kiekumene

Mfuko wa Joseph Ratzinger, Benedikto XVI unapania kukuza na kudumisha majadiliano ya kiekumene.

Mfuko wa Joseph Ratzinger-Benedikto XVI katika kukuza tafiti duniani

19/10/2017 09:00

Mfuko wa Joseph Ratzinger-Benedikto XVI unapania pamoja na mambo mengine kudumisha ari na mwamko kwa watafiti mbali mbali ili kuzama katika maandiko ya Papa Mstaafu Benedikto XVI ili kuvumbua utajiri na amana inayofumbatwa humo! Mwaka huu mwelekeo ni majadiliano ya kiekumene!

Kardinali Ravasi anasema ni lazima kutafuta uzuri na siyo kwa maana ya upimaji lakini pia kama uhalali, wa kuweza kuwajibika kijamii na utamadu

Kardinali Ravasi anasema ni lazima kutafuta uzuri na siyo kwa maana ya upimaji lakini pia kama uhalali, wa kuweza kuwajibika katika kijamii na utamaduni ambayo ni njia aliyotekeleza Mtakatifu Francisko enzi zake.

Kard.Ravasi: Lazima kuwa na ujasiri wa kurudia thamani ya historia

19/09/2017 14:13

Kardinali Gianfranco Ravas Menyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya utamaduni, ameelezea maana ya mkutano wa majadiliano ya utamaduni uliofanyika Asizi Italia kwamba,mada ya mkutano imejikita katika njia kwa maana ya kutaka kuwa na ujasiri wa kurudia upya thamani ya historia ya maisha