Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Angelo Sodano

Kardinali Angelo Sodano ameongoza Ibada ya Misa takatifu kwa ajili ya Kardinali Law na kufuatiwa na Ibada ya mazishi iliyongozwa na Papa Francisko.

Kardinali Angelo Sodano ameongoza Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumwombea Marehemu Kardinali Bernard Law na kufuatiwa na Ibada ya Mazishi iliyoongozwa na Papa Francisko kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican.

Kardinali Bernard Law asindikizwa kwenye usingizi wa amani!

21/12/2017 15:43

Baada ya mapambano ya maisha ya kiroho pamoja na ugonjwa wa muda mrefu, hatimaye, Kardinali Bernard Law, Askofu mkuu mstaafu wa Jimbo kuu la Boston, nchini Marekani, tarehe 21 Desemba 2017 amesindikizwa na familia ya Mungu katika Ibada ya Misa Takatifu iliyoongizwa na Kardinali Sodano.

Marehemu Kardinali Velasio de Paolis amesindikizwa kwenye usingizi wa amani!

Marehemu Kardinali Velasio de Paolis amesindikizwa kwenye usingizi wa amani, Jumatatu tarehe 11 Septemba 2017.

Marehemu Kardinali De Paolis amepumzishwa kwenye usingizi wa amani!

12/09/2017 12:43

Kanisa lina amini n akufundisha juu ya Fumbo la Kifo na Ufufuko kutoka kwa wafu! Hii ndiyo imani ambayo Kanisa, Jumatatu, tarehe 11 Septemba 2017 limeishuhudia kwa kumkumbuka, kumwombea na kumsindikiza Marehemu Kardinali Velasio de Paolis kwenye makao ya uzima wa milele!

Kardinali Ivan Dias amefariki dunia, tarehe 19 Juni 2017 akiwa na umri wa miaka 81.

Kardinali Ivan Dias amefariki dunia, tarehe 19 Juni 2017 akiwa na umri wa miaka 81.

Tanzia: Kardinali Iva Dias amefariki dunia!

20/06/2017 16:31

Kardinali Iva Dias, Mwenyekiti mstaafu wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu na Askofu mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Bombay, India, mefariki dunia, tarehe 19 Juni 2017 akiwa na umri wa miaka 81. Ibada ya Misa kwa ajili ya kumwombea, inafanyika kwenye Kanisa kuu la Mt. Petro, 21 Juni 2017.