Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Angelo Comastri

Michezo ya kamari na upatu ni hatari sana kwa maisha ya watu wengi nchini Italia!

Michezo ya kamari na upatu ni hatari sana kwa wananchi wengi nchini Italia.

Mchezo wa kamari na upatu ni hatari sana kwa maisha ya watu!

03/02/2018 15:44

Kamati ya Ushauri Kitaifa nchini Italia dhidi ya mchezo wa kamari na upatu, Jumamosi, tarehe 3 Februari 2018 imepata nafasi ya kukutana na kusali kwenye kaburi la Mtakatifu Yohane Paulo II ili kuomba ulinzi na tunza yake katika mapambano dhidi ya athari za michezo ya kamari na upatu kwa watu.

Kardinali Comastri ameongoza sala ya Rosari  Takatifu akiwaalika watu wote walioshiriki kuitikia mwaliko wa Bikira Maria alioufanya kwa Lucia

Kardinali Comastri ameongoza sala ya Rosari Takatifu akiwaalika watu wote walioshiriki kuitikia mwaliko wa Bikira Maria alioufanya kwa Lucia

Misa Vatican ya hitimisho la Jubilei ya miaka 100 ya kutokea Maria wa Fatima

14/10/2017 15:22

Tarehe 13 Oktoba katika Kanisa la Kuu la Mtakatifu Petro wameadhimisha Takatifu katika kuhitimisha rasmi Maadhimisho ya  Jubileo ya Miaka 100 tangu Bikira Maria alipowatokea watoto wa Fatima, Francis, Yacinta na Lucia misa hiyo imeongozwa na Kardinali Angelo Comastri Msaidizi wa Papa 

 

 

Wazazi na walezi wanayo dhamana ya kurithisha imani, maadili na utu wema miongoni mwa vijana wa kizazi kipya!

Wazzi na walezi wanayo dhamana na jukumu la kuhakikisha kwamba, wanarithisha imani, maadili na utu wema miongoni mwa vijana wa kizazi kipya!

Wazazi na walezi warithisheni watoto wenu imani, maadili na utu wema!

27/07/2017 14:57

Maadhimisho ya Kumbu kumbu ya Watakatifu Yoakim na Anna wazazi wake Bikira Maria, Mama wa Mungu na Kanisa, imekuwa ni fursa ya kuwahimiza wazazi, walezi na wahenga kuhakikisha kwamba, wanatekeleza dhamana na wajibu wao barabara kwa kurithisha imani, maadili na utu wema!