Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Angelo Amato

Mwenyeheri Paulo VI , Askofu mkuu Oscar Arnulfo Romero na wenzao kutangazwa kuwa watakatifu tarehe 14 Oktoba 2018

Mwenyeheri Paulo VI, Askofu Mkuu Oscar Arnulfo Romero na wenzao kutangazwa kuwa watakatifu tarehe 14 Oktoba 2018.

Mwenyeheri Paulo VI & O. Romero kutangazwa watakatifu 14 Oktoba 2018

19/05/2018 13:41

Mwenyeheri Paulo VI pamoja na Askofu mkuu Oscar Arnulfo Romero Galdamez ni kati ya wenyeheri sita watakaotangazwa kuwa watakatifu tarehe 14 Oktoba 2018. Watakatifu wapya ni mashuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa waja wake, mafundisho makuu ya Baba Mtakatifu Francisko kwa wakati huu.

 

Papa Francisko asikitikishwa sana na mauaji ya kinyama huko Jamhuri ya Watu wa Afrika ya Kati.

Papa Francisko asikitishwa sana na mauaji ya kinyama huko Jamhuri ya Watu wa Afrika ya kati.

Papa Francisko asikitishwa na mauaji ya kikatili Afrika ya Kati!

07/05/2018 08:17

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malkia wa Mbingu amesikitishwa sana na mauaji ya kikatili yaliyotokea hivi karibuni huko kwenye Jamhuri ya Watu wa Afrika ya Kati. Anaitaka familia ya Mungu nchini humo kujikita katika mchakato wa upatanisho, haki, amani na maridhiano!

Mtumishi wa Mungu Hanna Chrzanowska kutangazwa kuwa Mwenyeheri.

Mtumishi wa Mungu Hanna Chrzanowska kutangazwa kuwa Mwenyeheri tarehe 28 Aprili 2018.

Mwenyeheri Hanna Chrzanowska, mwamini mlei na muuguzi

27/04/2018 15:06

Kardinali Angelo Amato kwa niaba ya Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 28 Aprili 2018 anamtangaza Mtumishi wa Mungu Hanna Chrzanowska kuwa Mwenyeheri. Huyu ni mwamini mlei aliyejipatia utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma kwa wagonjwa na maskini, kiasi cha kutambua mateso yanayookoa!

Mwenyeheri Lucien Botovasoa, shahidi, mwamini mlei na baba wa familia kutoka Madagascar anatangazwa kuwa Mwenyeheri 15.4.2018.

Mwenyeheri Lucien Botovasoa, shahidi, mwamini mlei na baba wa familia anatangazwa tarehe 15.4.2018 kuwa Mwenyeheri.

Mwenyeheri Lucien Botovasoa, Baba wa familia, shuhuda amini wa Kristo

13/04/2018 15:38

Mwenyeheri Lucien Botovasoa, shahidi, mwamini mlei, baba wa familia na wanachama wa Utawa wa Tatu wa Mtakatifu Francisko kutoka nchini Madagascar, tarehe 15 Aprili 2018 anaongezwa kwenye Orodha ya Wenyeheri wa Kanisa, walioyamimina maisha yao kwa ajili ya ushuhuda kwa Kristo na Kanisa lake. 

Bikira Maria Mama wa Huruma ya Mungu ni mwalimu wa watakatifu wote!

Bikira Maria Mama wa Huruma ya Mungu ni mwalimu wa watakatifu wote!

Bikira Maria Mama wa huruma ya Mungu ni mwalimu wa watakatifu wote!

09/04/2018 08:19

Kardinali Angelo Amato anasema, waamini wa nyakati zote, daima wamekimbilia huruma, ulinzi na tunza ya Bikira Maria, Mama wa huruma ya Mungu katika maisha yao. Kwa hakika Bikira Maria ni mwalimu wa watakatifu wote na kwamba, yuko tayari kupangusa machozi ya toba wale wote wanaotubu dhambi zao!

Mwenyeheri Paulo VI kutangazwa kuwa Mtakatifu mwaka 2018

Mwenyeheri Paulo VI kutangazwa kuwa Mtakatifu mwaka 2018.

Mwenyeheri Paulo VI & Oscar Romero kutangazwa watakatifu mwaka 2018

12/03/2018 12:02

Wakati huu Mama Kanisa anapoendelea kujizatiti zaidi katika kuimarisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo, Baba Mtakatifu Francisko ameridhia kwamba, Mwenyeheri Paulo VI aliyesimama kidete kutangaza Injili ya uhai pamoja na Askofu mkuu Oscar Romero watangazwe kuwa watakatifu mwaka 2018

Mwenyeheri Teresio Olivelli ni chombo na shuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa maskini.

Mwenyeheri Teresio Olivelli ni chombo na ushuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa maskini.

Mwenyeheri Teresio Olivelli ni mfano bora wa kuigwa na vijana!

05/02/2018 09:53

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mwenyeheri Teresio Olivelli ni shuhuda na chombo cha huruma na upendo wa Kristo kwa maskini na wanyonge, ambaye sasa amejiunga na umati mkubwa wa watakatifu na mashuhuda wa imani wa karne ya ishirini. Ni mwamini mlei na mfano bora wa kuigwa na vijana!

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Kardinali Angelo Amato Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa mchakato wa kutangaza watakatifu

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Kardinali Angelo Amato Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa mchakato wa kutangaza watakatifu

Papa amepokea na kukubali kuwatangaza wenyeheri wapya wa Kanisa!

27/01/2018 15:59

Tarehe 26 Januari 2018 Baba Mtakatifu amekutana na Kardinali Angelo Amato S.D.B,Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Mchakato wa kuwatangaza wenye heri na Watakatifu.Katika mkutano wao,Baba Mtakatifu ametambua na kukubali kuwatangazwa wenye heri:Mtumishi wa Mungu wa Kanisa!