Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kard. Angelo Amato

Mwenyeheri Paulo VI kutangazwa kuwa Mtakatifu mwaka 2018

Mwenyeheri Paulo VI kutangazwa kuwa Mtakatifu mwaka 2018.

Mwenyeheri Paulo VI & Oscar Romero kutangazwa watakatifu mwaka 2018

12/03/2018 12:02

Wakati huu Mama Kanisa anapoendelea kujizatiti zaidi katika kuimarisha Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo, Baba Mtakatifu Francisko ameridhia kwamba, Mwenyeheri Paulo VI aliyesimama kidete kutangaza Injili ya uhai pamoja na Askofu mkuu Oscar Romero watangazwe kuwa watakatifu mwaka 2018

Mwenyeheri Teresio Olivelli ni chombo na shuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa maskini.

Mwenyeheri Teresio Olivelli ni chombo na ushuhuda wa huruma na upendo wa Mungu kwa maskini.

Mwenyeheri Teresio Olivelli ni mfano bora wa kuigwa na vijana!

05/02/2018 09:53

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mwenyeheri Teresio Olivelli ni shuhuda na chombo cha huruma na upendo wa Kristo kwa maskini na wanyonge, ambaye sasa amejiunga na umati mkubwa wa watakatifu na mashuhuda wa imani wa karne ya ishirini. Ni mwamini mlei na mfano bora wa kuigwa na vijana!

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Kardinali Angelo Amato Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa mchakato wa kutangaza watakatifu

Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Kardinali Angelo Amato Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa mchakato wa kutangaza watakatifu

Papa amepokea na kukubali kuwatangaza wenyeheri wapya wa Kanisa!

27/01/2018 15:59

Tarehe 26 Januari 2018 Baba Mtakatifu amekutana na Kardinali Angelo Amato S.D.B,Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Mchakato wa kuwatangaza wenye heri na Watakatifu.Katika mkutano wao,Baba Mtakatifu ametambua na kukubali kuwatangazwa wenye heri:Mtumishi wa Mungu wa Kanisa!

 

Mambo msingi katika mchakato wa kuwatangaza waamini kuwa watakatifu: Karama, kifodini na miujiza.

Mambo msingi katika mchakato wa kuwatangaza waamini kuwa watakatifu: karama, kifodini na miujiza iliyotendwa kielelezo cha neema ya Mungu.

Mambo msingi, taratibu, sheria na kanuni za kuwatangaza watakatifu!

10/01/2018 15:05

Baraza la Kipapa la Kuwatangaza Waamini kuwa Wenyeheri na Watakatifu linasema, huu ni utume nyeti na shirikishi unaozingatia: Historia, Taalimungu, Sheria za Kanisa, Sayansi ili kuwa na uhakika wa: Karama, Kifodini na Miujiza kwa waamini ambao wako katika mchakato wa kutangazwa kuwa watakatifu.

Barua binafsi ya Papa Francisko "Sadaka ya Maisha" na Mwongozo  wa Masalia ya watakatifu ndani ya Kanisa ni muhimu katika kukuza ibada na utakatifu!

Barua binafsi ya Papa Francisko "Sadaka ya Maisha" na Mwongozo wa masalia ya watakatifu ndani ya Kanisa: uhakika na utunzaji wake ni muhimu katika kukuza ibada kwa watakatifu na kuchochea utakatifu wa maisha kwa njia ya huduma makini.

Kardinali Angelo Amato: Masalia ya watakatifu na Sadaka ya Maisha

10/01/2018 07:22

Barua binafsi ya Baba Mtakatifu Francisko kuhusu "Sadaka ya Maisha" inayofungua njia mpya kwa waamini kutangazwa kuwa wenyeheri na hatimaye, watakatifu pamoja na Mwongozo wa Masalia ya watakatifu ndani ya Kanisa: uhakika na utunzaji wake ni nyaraka muhimu sana kwa utakatifu wa maisha.

Kati ya walio kubaliwa kutangazwa  wenye heri, yupo hata Mtumishi wa Mungu Papa Yohane Paulo I. Alizaliwa 17 Okt. 1912,kifo chake 28 Sept 1978 Vatican

Kati ya walio kubaliwa kutangazwa wenye heri, yupo hata Mtumishi wa Mungu Papa Yohane Paulo I. Alizaliwa 17 Okt. 1912 na kifo chake katika nyumba ya Kitume Vatican Tarehe 28 Sept.1978

Utambuzi wa Uadilifu wa Mtumishi wa Mungu Papa Yohane Paulo I

09/11/2017 10:35

Tarehe 8 Nov,Baba Mtakatifu amekutana na Kardinali A. Amato,Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya kuwatangaza Watakatifu.Mtumishi wa Mungu Papa Yohane Paulo I ni mmojapo atakayetangazwa Mwenyeheri.Alizaliwanato 17 Okt 1912 na kifo chake 28 Sept 1928 mjini Vatican

 

 

Jumapili 5 Novemba Papa amekumbuka Mwenye heri mpya wa Kanisa, Sista Rani Maria Vatalil wa  India aliyetangazwa Jumamosi tarehe 4 Novemba 2017

Jumapili 5 Novemba Papa amekumbuka Mwenye heri mpya wa Kanisa, Sista Rani Maria Vatalil wa India aliyetangazwa Jumamosi tarehe 4 Novemba 2017

Papa amekumbuka Mwenye heri mpya wa Kanisa Sista Rani Maria Vatalil

06/11/2017 10:51

Mara baada ya Sala ya Malaika wa Bwana tarehe 5 Novemba 2017,Baba Mtakatifu amekumbuka juu ya tukio la kutangazwa mwenye heri Rani Maria Vatalil Sista wa Shirika la Waklara huko Indore India siku ya tarehe 4 Novemba 2017. Aliuwawa kwa ajili ya kutetea imani yake ya kikristo mwaka 1995, 

 

Baba Mtakatifu amekubali ombi la kuwatangaza wenye heri wapya katika mkutano na Kardinali Angelo Amato

Baba Mtakatifu amekubali ombi la kuwatangaza wenye heri wapya katika mkutano na Kardinali Angelo Amato Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya mchakato wa kuwatangaza wenye heri na watakatifu

Papa: Akubali ombi la kuwatangaza wenye heri watumishi wa Mungu

11/10/2017 16:35

Tarehe 9 Oktoba Baba Mtakatifu Francisko amekutana na Kardinali Angelo Amato, Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa kwa ajili ya Mchakato wa kuwatangaza wenye heri na Watakatifu, wakati wa mkutano wao, amekubali kuwatangaza wenye heri  wapya watumishi wa Mungu kadhaa wa Kanisa