Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kanisa ni Sakramenti ya Wokovu

Waraka wa Mwenyeheri Paulo VI kwa Mapadre Duniani ulioandikwa kunako mwaka 1967.

Waraka wa Mwenyeheri Paulo VI kwa Mapadre Duniani, tarehe 30 Juni 1967.

Waraka wa Mwenyeheri Paulo VI kwa Mapadre Duniani

03/07/2018 08:44

Mwenyeheri Paulo VI kwa kusoma alama za nyakati kutokana na changamoto zilizojitokeza katika maisha na utume wa Mapadre baada ya Mtaguso mkuu wa Pili wa Vatican, aliamua kuwaandikia Mapadre Waraka maalum akionesha tasaufi ya Daraja Takatifu, dhamana na changamoto zake ulimwenguni!

Sherehe ya Kupaa Bwana Mbingu: Ukuu, nguvu na utukufu & Kanisa Sakramenti ya Wokovu

Sherehe ya Kupaa Bwana Mbinguni: Ukuu, nguvu na utukufu wa Kristo & Kanisa Sakramenti ya Wokovu.

Ninyi ni mashuhuda wa Kristo Mfufuka, vyombo vya huruma na upendo!

14/05/2018 10:50

Katika Sherehe ya Kupaa Bwana Mbinguni, Kanisa linatangaza ukuu, nguvu na utukufu wa Kristo Mfufuka anayepaa mbinguni kwa sauti ya baragamu na kelele za shangwe! Pili, Kanisa linatumwa kuwa ni Sakramenti ya wokovu kwa watu wa Mataifa kwa kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu.

Waraka wa Placuit Deo uliotolewa mnamo 1 Machi 2018,unafafanua zaidi juu ya Wokovu wa kikristo!

Waraka wa Placuit Deo uliotolewa mnamo 1 Machi 2018,unafafanua zaidi juu ya Wokovu wa kikristo!

Kushiriki na Mungu kwa njia ya Utatu inatuwezesha kufikia wokovu !

28/04/2018 14:27

Katika Waraka wa Placuit Deo wa Baraza la Kipapa la Mafundisho Tanzu ya Kanisa kwa Maaskofu wa Kanisa Katoliki, unaohusu  baadhi ya mantiki ya wokovu wa kikristo,iliyotangazwa  tarehe 1 Machi 2018,inasema,kuwa na wokovu lazima kushiriki muungano wa Mungu na watu kwa maana ya Utatu 

 

 

 

Watanzania wanapaswa kujenga na kudumisha: Hekima, Umoja na Amani nguzo za taifa!

Watanzania wanapaswa kujenga na kudumisha: Hekima, Umoja na Amani nguzo za taifa.

Yaliyojiri Askofu mkuu Isaac Amani Massawe aliposimikwa Arusha

14/04/2018 16:50

Maadhimisho ya Ibada ya Masifu ya Jioni, Jumapili ya Huruma ya Mungu na hatimaye, Ibada ya Misa Takatifu kwa ajili ya kumsimika Askofu Mkuu Isaac Amani Massawe wa Jimbo kuu la Arusha yalisheheni utajiri wa busara na hekima zilizotolewa na wahusika mbali mbali katika tukio hili la kihistoria!

Katika chumba cha maungamo ni sehemu ya kusikiliza na kukutana na Mungu na si kwenda katika chumba cha maungamo na simu ikiwa imefunguliwa

Katika chumba cha maungamo ni sehemu ya kusikiliza na kukutana na Mungu na si kwenda katika chumba cha maungamo na simu ikiwa imefunguliwa.

Kard.Piacenza:Ni marufuku Mapadre kuchat wakati wa Sakramenti ya Kitubio!

07/03/2018 14:05

Katika maungamo ni sehemu ya kusikiliza na kukutana na Mungu.Siyo mahali pa kwendachumba cha maungamo na simu ikiwa imefunguliwa.Ni tendo baya.Ni marufuku mapadre kutumia simu katika maungamo.Ni kwa mujibu wa Kardinali Piacenza,mhudumu Mkuu wa Idara ya Toba ya kutume

 

 

 

Wokovu ni zawadi ya Mungu inayotolewa kwa watu wote, lakini kila mmoja anawajibika kuipokea katika maisha yake kwa uhuru kamili.

Wokovu ni zawadi ya Mungu inayotolewa kwa watu wote, lakini, kila mtu anawajibika kuipokea kwa uhuru unaomwilishwa katika mapendo kamili.

Tafakari ya Neno la Mungu: Zawadi ya wokovu na uhuru wa binadamu!

30/09/2017 10:39

Tafakari ya Neno la Mungu Jumapili ya XXVI ni mwaliko wa kuwa ni mashuhuda wa Injili ya huduma inayomwilishwa katika uhuru kamili, upendo wa dhati; utii, toba na wongofu wa ndani, kwa ajili ya sifa kwa Mwenyezi na zawadi ya wokovu kwa binadamu wote! Wokovu ni wajibu wa mtu binafsi!

Papa Francisko ni chemchemi ya huruma, amani, upendo na matumaini kwa watu!

Papa Francisko ni chemchemi ya huruma, amani, matumaini na mapendo miongoni mwa watu!

Papa Francisko: Chemchemi ya huruma, upendo na upatanisho!

07/09/2017 12:39

Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Amerika ya Kusini CELAM linasema, familia ya Mungu nchini Colombia imeamua kuuvalia njuga mchakato wa amani na upatanisho wa kitaifa kwa kupiga hatua mbele, ili kuondokana na ukosefu wa haki msingi za binadamu, usawa, rushwa na ufisadi!

Mwanamke Mkananayo alikuwa na upendo na huruma kwa binti yake, akatambuauwepo, uwezo na nguvu ya Yesu ya kuponya magonjwa ya watu.

Mwanamke Mkananayo alikuwa na upendo na huruma kwa binti yake aliyepagawa na pepo; alikuwa na imani thabiti kwa uwepo, uweza na nguvu ya Yesu ya kuponya magonjwa ya binadamu na kuwakirimia wokovu.

Wokovu ni zawadi ya Mungu kwa binadamu wote inayopatikana kwa imani

19/08/2017 10:52

Mama Kanisa katika maadhimisho ya Liturujia ya Neno la Mungu, Jumapili ya XX ya Kipindi cha Mwaka A wa Kanisa anakazia umuhimu wa wokovu kama zawadi kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa ajili ya watu wote wanaoitafuta kwa imani na uaminifu kwa Amri na Sheria za Mungu.