Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kanisa na Michezo

Kanisa na Michezo: Waraka: Kujitoa Kikamilifu: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu.

Kanisa na Michezo: Waraka: Kujitoa Kikamilifu: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu.

KOMBE LA DUNIA 2018: Mtazamo wa Kikristo kuhusu michezo na binadamu

12/06/2018 11:00

Baba Mtakatifu Francisko anasema, michezo inayo nafasi muhimu sana katika mchakato wa uinjilishaji mpya kwani ni nyenzo msingi katika kusimamia na kudumisha haki msingi za binadamu; ni njia ya mchakato wa utakatifu; ni mahali muafaka pa kuonja uzuri na utakatifu wa kazi ya uumbaji, umoja na udugu.