Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kanisa Mt. Petro

Tarehe 13 Februari Misa ya  asubuhi ya Papa ameiadhimisha na Patriaki wa Antiokia, Youssef Absi na Sinodi yake yote

Tarehe 13 Februari Misa ya asubuhi ya Papa ameiadhimisha na Patriaki wa Antiokia, Youssef Absi na Sinodi yake yote

Misa ya Papa Francisko Katika kanisa la Mt Marta na Patriaki wa Antiokia!

13/02/2018 16:19

Asubuhi ya tarehe 13 Februari 2018,kama kawaida ya Baba Mtakatifu Francisko ameadhimisha misa katika Kanisa la Mtakatifu Marta mjini Vatican,lakini hakuhubiri,bali ametoa maelezo kuhusu uwepo wa Patriaki wa Kanisa la Antiokia wa Kigiriki-Melkiti Youssef Absi na Ujumbe wake wote katika misa

 

 

Kesha la Pasaka, Kanisa kuu la Mt. Petro mjini Vatican

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa kesha la Pasaka ameongoza Ibada ya Misa takatifu na kutoa Sakramenti ya Ubatizo na Kipaimara kwa wakatekumeni 10.

Kesha la Pasaka: Kumbu kumbu kwa wakristo wanaoteseka, wasikate tamaa!

05/04/2015 11:07

Baba Mtakatifu Francisko katika Kesha la Pasaka, ameadhimisha Ibada ya Misa Takatifu na kutoa Sakramenti ya Ubatizo na Kipaimara kwa Wakatekumeni kumi kutoka sehemu mbali mbali za dunia. Kanisa limewakumbuka na kuaombea Wakristo wanaoteswa na kunyanyasika sehemu mbali mbali za dunia.

 

WCC: Mauaji ya Garissa, Kenya

Baraza la Makanisa Ulimwenguni linalaani mauaji ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Garissa, Kenya.

WCC: Kifo hakina nguvu tena, Yesu ni mshindi!

04/04/2015 07:51

Baraza la Makanisa Ulimwenguni linalaani mauaji ya kikatili yaliyofanywa kwenye Chuo kikuu cha Garissa, Kenya na kusababisha wanafunzi 147 kupoteza maisha yao na wengine wengi kupata majeraha makubwa. 

 

Papa Francisko, Jumapili ya Matawi 2015

Jumapili ya Matawi na Maadhimisho ya Siku ya 30 ya Vijana Duniani, Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican.

Njia ya unyenyekevu ni mtindo wa maisha ya Mungu na Wakristo!

29/03/2015 10:27

Baba Mtakatifu Francisko katika mahubiri yake kwenye Jumapili ya Matawi, mwanzo wa Juma kuu la mateso, kifo na ufufuko wa Kristo amekazia kuhusu fadhila ya unyenyekevu kama mtindo wa maisha ya Mungu na Wakristo.