Mitandao ya kijamii:

RSS:

App:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kanisa kuu la Mt. Yohane wa Laterano

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jumapili kuanzia mwaka 2017.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jumapili kuanzia Mwaka 2017.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jimboni Roma, Jumapili

19/05/2017 09:30

Baba Mtakatifu Francisko ameridhia uamuzi wa kuadhimisha Sherehe ya Ekaristi Takatifu ambayo kadiri ya Mapokeo, imekuwa ikiadhimishwa Alhamisi Jimbo kuu la Roma kuanzia mwaka 2017 itaadhimisha Jumapili, ili kutoa nafasi kwa waamini wengi kushiriki katika kuadhimisha na kushuhudia imani yao!

Katika maadhimisho ya Jumapili ya Mchungaji mwema, Siku ya 54 ya Kuombea Miito, Papa Francisko anatarajiwa kutoa Daraja ya Upadre kwa Mashemasi 10.

Katika maadhimisho ya Jumapili ya Mchungaji Mwema, Siku ya 54 ya Kuombea Miito, Papa Francisko anatarajiwa kutoa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi 10 kutoka Jimbo kuu la Roma.

Papa Francisko kutoa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi 10

04/05/2017 10:44

Katika maadhimisho ya Jumapili ya Nne ya Kipindi cha Pasaka, Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa kutoa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi 10 wakati wa maadhimisho ya Siku ya 54 ya Kuombea Miito Duniani inayoongozwa na kauli mbiu: "Tukisukumwa na Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume"

Papa Francisko, tarehe 2 Machi 2017 amewaunganisha mapadre kadhaa na kutoa tafakari kuhusu ukuaji wa imani katika maisha ya Mapadre

Papa Francisko, tarehe 2 Machi 2017 amewaunganisha Mapadre kadhaa na baadaye kutoka tafakari kuhusu ukuaji wa imani katika mapadre na changamoto zake.

Papa Francisko: Ukuaji wa imani na changamoto zake kwa Mapadre

02/03/2017 14:33

Baba Mtakatifu Francisko Alhamisi, tarehe 2 Machi 2017 amekutana na Wakleri wa Jimbo kuu la Roma. Alipowasili ametumia muda mrefu kwa ajili ya kuwaungamisha Mapadre waliokuwa wamejiandaa kupokea huruma ya Mungu na hatimaye, tafakari kuhusu ukuaji wa imani katika maisha ya Mapadre.