Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kanisa kuu la Mt. Nicholaus wa Bari, Italia

Viongozi wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo wamekazia uekumene wa sala, huduma, ushuhuda, umoja na amani duniani.

Viongozi wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo wamekazia uekumene wa sala, huduma, ushuhuda, haki, amani, umoja na mshikamano wa wakristo!

Siku ya Sala ya Kiekumene Bari: Uekumene wa sala, umoja na amani!

08/07/2018 08:48

Siku ya Sala ya Kiekumene huko Bari, Kusini mwa Italia, imehudhuriwa na viongozi wakuu wa Makanisa na Jumuiya za Kikristo huko Mashariki ya Kati kwa kukazia asili ya maisha na utume wa Kanisa; umuhimu wa kukuza na kudumisha uekumene wa sala, huduma, ushuhuda, umoja na amani duniani!

Baraza la Maaskofu Katoliki Italia, CEI limepewa dhamana ya kuandaa mkesha wa Sala ya Kiekumene kwa ajili ya amani na umoja Mashariki ya Kati.

Baraza la Maaskofu Katoliki Italia, CEI limepewa dhamana ya kuandaa mkesha wa sala ya kuombea amani na umoja huko Mashariki ya Kati.

Mkesha wa Sala ya Kiekumene kuombea amani na umoja Mashariki ya Kati

05/07/2018 16:51

Baraza la Maaskofu Katoliki Italia, CEI limechukua dhamana ya kuandaa Mkesha wa sala ya Kiekumene kwa ajili ya kuombea amani na umoja huko Mashariki ya Kati utakaofanyika kwenye Kanisa kuu la Mtakatifu Nicholaus wa Bari, Ijumaa tarehe 6 Julai 2018. Wakuu wa Makanisa wanakutana 7 Julai 2018.

Baraza la Maaskofu Katoliki Italia linasema, Kanisa lina dhamana ya kutangaza na kushuhudia Injili ya matumaini!

Baraza la Maaskofu Katoliki Italia linasema, Kanisa lina dhamana na wajibu wa kutangaza na kushuhudia Injili ya matumaini inayosimikwa katika katika kanuni maadili na utu wema.

Maaskofu Katoliki Italia: Kanisa lina mchango mkubwa katika maisha!

23/05/2018 10:47

Baraza la Maaskofu Katoliki Italia linasema, familia ya Mungu nchini Italia inakabiliwa na changamoto nyingi katika maisha yake, kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kukata tamaa, lakini, Kanisa lina amana na utajiri mkubwa katika Mapokeo yake, ambayo yanapaswa kudumisha Injili ya matumaini.

Papa Francisko tarehe 7 Julai 2018 anatembelea Kanisa kuu la Mt. Nicholaus wa Bari ili kusali kwa ajili ya kuombea amani huko Mashariki ya Kati.

Papa Francisko tarehe 7 Julai 2018 anatembelea Kanisa kuu la Mtakatifu Nicholaus wa Bari ili kutafakari na kusali kwa ajili ya kuombea amani huko Mashariki ya Kati. Ni tukio linalotarajiwa kuwaunganisha pia viongozi wakuu wa Makanisa ya Mashariki.

Viongozi wa Makanisa kukutana ili kusali na kutafakari huko Bari!

27/04/2018 07:08

Baba Mtakatifu Francisko katika maisha na utume wake, anaendelea kutoa kipaumbele cha pekee katika majadiliano ya kiekumene. Tarehe 7 Julai 2018, anatarajiwa kutembelea Kanisa kuu la Mtakatifu Nicholaus wa Bari, Kusini mwa Italia, ili kusali na kutafakari juu ya mateso ya Wakristo!