Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kanisa kuu la Bikira Maria Mkuu

Hija ya kiekumene ya Papa Francisko nchini Uswiss ni kuimarisha majadiliano ya kiekumene pamoja na kukutana na Wakatoliki kutoka Uswiss.

Hija ya Kiekumene ya Papa Francisko nchini Uswiss ni kutaka kuimarisha majadiliano ya kiekumene pamoja na kukutana na waamini wa Kanisa Katoliki.

Hija ya Kiekumene ya Papa Francisko yawasha moto wa kiekumene Geneva!

21/06/2018 17:55

Baba Mtakatifu Francisko anasema, kiini cha hija yake ya kiekumene nchini Uswiss inayoongozwa na kauli mbiu: "Kutembea, kusali na kushirikiana" ni kumwezesha kukutana na Wakatoliki ndani na nje ya Uswiss, lakini zaidi, kuimarisha mchakato wa majadiliano ya kiekumene kati ya Makanisa!

Tarehe 31 Mei ya kila mwaka  katika groto za Lourdes Mjini Vatican hufanyika maandamano  ya sala kuhitimisha mwezi wa Rosari!

Tarehe 31 Mei ya kila mwaka katika groto za Lourdes Mjini Vatican hufanyika maandamano ya sala kuhitimisha mwezi wa Rosari!

Tarehe 31 Mei ni hitimisho la Mwezi wa Mama Maria kusali Rosari!

31/05/2018 16:16

Leo hii tarehe 31 Mei ni hitimisho la mwezi wa Mama Maria ambayo ni sala ya Moyo. Kila mwaka katika bustani za Vatican kuna maandamano, wakiwa wamewasha mishumaa mikubwa kuanzia  katika Kanisa la Mtakatifu Stefano wa Abissini hadi kufika katika Grotto za Mama Maria wa Lourdes.

 

Papa Francisko ameadhimisha Misa katika Kanisa Kuu la Maria Mkuu,kwa tukio la Sikukuu ya Tafsiri ya Maria afya ya watu wa Roma, “Salus Popoli Roma

Papa Francisko ameadhimisha Misa katika Kanisa Kuu la Mama Maria Mkuu,kwa tukio la Sikukuu ya Tafsiri ya Maria afya ya watu wa Roma, “Salus Popoli Romani”

Papa Francisko anasema tumkimbilie Bikira Maria usalama hakika wa maisha!

28/01/2018 15:13

Baba Mtakatifu Francisko asubuhi ya Jumapili tarehe 28 Januari 2018, katika Kanisa Kuu la Mama Maria Mkuu,kuadhimisha Sikukuu ya Tafsiri ya Maria afya ya watu wa Roma,yaani Salus Popoli Romani, amesema,tumkaribishe Mama Maria awe kimbilio letu la kila siku na usalama hakika katika nyumba zetu. 
 

 

Papa Francisko anawaalika waamini kusali na kumwombea ili kufanikisha hija yake ya kitume Amerika ya Kusini.

Papa Francisko anawaalika waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza katika sala wakati wa hija yake ya kitume nchini Perù.

Papa Francisko anawaalika waamini kumsindikiza kwa sala!

14/01/2018 14:06

Baba Mtakatifu Francisko wakati wa Sala ya Malaika wa Bwana, kwenye Uwanja wa Kanisa kuu la Mtakatifu Petro mjini Vatican Jumapili, tarehe 14 januari 2018 amewaomba waamini pamoja na watu wote wenye mapenzi mema kumsindikiza kwa sala na sadaka ili kufanikisha hija yake Amerika ya Kusini

 

Baba Mtakatifu akiweka mawaridi katika Altare ya Picha ya Mama Maria Mkuu Roma kama ishara ya shukrani baada ya ziara yake ya kitume

Baba Mtakatifu akiweka mawaridi katika Altare ya Picha ya Mama Maria Mkuu Roma kama ishara ya shukrani baada ya ziara yake ya kitume

Papa ameweka maua ya mawaridi katika Kanisa Kuu la Mama Maria Mkuu Roma!

04/12/2017 16:32

Jumapili tarehe 3 Desemba asubuhi,Baba Mtakatifu amekwenda katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Maria Mkuu kutoa shukrania kwa Mama Maria,baada ya ziara yake nchini Mynamar na Bangladesh.Katika Kikanisa Kidogo Baba Mtakatifu aliweka mawaridi meupe na njano,kama ishara ya kushukuru

 

 

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriani na Taasisi ya Biblia, Baba Mtakatifu anasisitiza kuwa, kuna hata Taasisi ya Mashariki

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriana na Taasisi ya Biblia, Baba Mtakatifu anasisitiza kuwa, kuna hata Taasisi ya Mashariki

Ujumbe wa Papa kwa Miaka 100 ya Baraza la Kipapa kwa Makanisa ya Mashariki

12/10/2017 15:36

Pamoja na utume unaotolewa na Chuo Kikuu cha Gregoriani naTaasisi ya Biblia,Baba Mtakatifu anasisitiza kuna hata Taasisi ya Mashariki inapaswa kutambuliwa kwa wote.Kuna umuhimu wa kuhakikisha Taasisi inakuwa thabiti kwa walezi wa Kiyesuit kwa kuwasadia katika malezi yao