Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Kamati Maalum ya Waamini Walei DRC, CLC.,

Vatican inaendelea kufuatilia kwa karibu sana hali ya kisiasa na kijamii nchini DRC!

Vatican inaendelea kufuatilia kwa karibu sana hali tete ya kisiasa na kijamii nchini DRC.

Papa Francisko anaendelea kufuatilia kwa karibu hali tete nchini DRC

14/04/2018 16:31

Baba Mtakatifu Francisko kwa nyakati mbali mbali ameonesha masikitiko makubwa pamoja na kuguswa na hali tete ya wananchi wa DRC wanaoendelea kuteseka kutokana na vita pamoja na mpasuko wa kisiasa na kijamii. Vatican inaiomba Jumuiya ya Kimataifa kusimamia mchakato wa uchaguzi DRC.

Serikali ya Rais Joseph Kabila wa DRC inashutumiwa kwa kuvunja haki msingi za binadamu, demokrasia na utawala wa sheria.

Serikali ya Rais Joseph Kabila wa DRC inashutumiwa kwa kuvunja haki msingi za binadamu, demokrasia na utawala wa sheria.

DRC: Haki msingi za binadamu na utawala wa sheria viko mashakani!

14/02/2018 08:09

Serikali ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Watu wa Congo imeshindwa kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa kati yake na vyama vya upinzani nchini humo kuhusu mustakabali wa nchi hiyo na matokea yake haki msingi za binadamu, demokrasia na utawala wa sheria vinaendelea kuvunjwa kila kukicha!

Kard. Monsengwo: Makubaliano yaliyofikiwa DRC hayana budi kutekelezwa ili kujenga haki, amani na demokrasia ya kweli!

Kard. Monsengwo: Makubaliano yaliyofikiwa hayana budi kutekelezwa kwa dhati ili kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani na demokrasia ya kweli.

Kardinali Monsengwo: Makubaliano yaliyofikiwa hayana budi kutekelezwa

06/01/2018 10:40

Kardinali Laurent Monsengwo Pasinya, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Kinshasa, DRC anasema, ili kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu kuna haja kwa viongozi wa kisiasa kuhakikisha kwamba, makubaliano ya amani yaliyotiwa sahii yanatekelezwa kwa dhati!