Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jumuiya ya Waislam

Viongozi wa dini tofauti nchini Indonesia wameungana kutetea umoja wao wakati wa mfungo wa ramadhani

Viongozi wa dini tofauti nchini Indonesia wameungana kutetea umoja wao wakati wa mfungo wa ramadhani

Utetezi wa utofauti, Indonesia ndiyo wito uliotolewa na viongozi wa dini !

08/06/2018 11:36

Kutetea utofauti nchini Indonesia ndiyo wito ulio tolewa na viongozi wa madhehebu mbalimbali na utamaduni walio unganika hivi karibuni  wakati wa fursa ya mwezi wa Ramadhani katika Kanisa Kuu katoliki la Jakarta,siku ya maadhimisho ya Pancasila ambayo ni kadi ya misingi mitano na kiini cha Katiba 

 

Kardinali mteule Joseph Coutts  nchini Pakistan anasema mazungumzo ya kidini ni shughuli ambazo wanapaswa kuhusika watu wote

Kardinali mteule Joseph Coutts nchini Pakistan anasema mazungumzo ya kidini ni shughuli ambazo wanapaswa kuhusika watu wote hasa ulazima wa kuhisi upamoja katika nchi ambayo idadi kubwa ni waislam

Kard.Mteule Coutts:Mazungumzo ya maisha na huduma ya binadamu mteswa!

07/06/2018 14:30

Mazungumzo ya kidini ni shughuli ambazo wanapaswa kuhusika wote,hasa ulazima wa kufanya sehemu ya ushirikishwaji katika maisha na kama ilivyo sehemu kubwa ya watu wa nchi ya Pakistana ni waislam. Ndiyo matashi mema ya Kardinali mteule Joseph Coutts kwa nchi ya utajiri wa dini nyingi

 

Waislam wameanza mwezi wa Ramadha na Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya Kidini wanawatakia matashi mema ya mwezi huo

Waislam wameanza mwezi wa Ramadha na Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya Kidini wanawatakia matashi mema ya mwezi huo

Ujumbe wa Baraza la Mazungumzo ya kidini katika fursa ya mfungo wa Ramadhan

18/05/2018 17:07

Katika fursa ya mwezi mtukufu wa Ramadhan, umetolewa ujumbe wa Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya kidini ukiwa na kauli mbiu “wakristo na waislam: kuondoka katika mashindano ili kuelekea ushirikiano kwa ajili ya mwezi wa Ramadhan na ‘ID AL-FITR 1439 H. / 2018 A.D.;Ushirikiano ni muhimu!

 

 

Rais Joko Widodo wa Indonesia na wengine wakati wakitazama guaride katika sikukuuya  uhuru wa miaka 72 Alhamisi 17 Agosti 2017

Rais Joko Widodo wa Indonesia na wengine wakati wakitazama guaride katika sikukuuya uhuru wa miaka 72 Alhamisi 17 Agosti 2017

17 Agosti nchi ya Indonesia yaadhimisha miaka 72 ya uhuru wake

18/08/2017 13:41

Nchi ya Indonesia tarehe 17 Agosti imeadhimisha miaka 72 ya Uhuru wake.Leo hii nchi ya Indonesia ni ya kidemokrasia yenye kuwa na idadi kubwa ya waislamu.Kwa namna hiyo upo umakini kwa wale wote wanao hamasisha mazungumzo kati ya wakristo na waislam.Ni nchi yenye watu wengi

 

Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby akiwa anabariki Jimbo jipya wakati yuko ziarani nchini Sudan ya Kusini

Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby akiwa anabariki Jimbo jipya wakati yuko ziarani nchini Sudan ya Kusini

Watu wote wasali kwa ajili ya Sudan ya Kusini ili wapate msaada

01/08/2017 15:20

 Askofu Mkuu wa Canterbury J.Welby anasema nchi ya Sudan ni mfano wa kuigwa na wengi katika dunia hii kwa ajili ya wakimbizi na wenye kuhitaji.Anaamini  kwamba kupokea wakimbizi wengi namna hii imekuwa ni changamoto kubwa na watu wa Sudan wameonesha kuwa na ubinadamu wa kweli.