Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jumatano ya Majivu

Simama kidogo juu ya tabia ya kukurupuka, ya kutaka kukagua kila kitu, kujua kila kitu, kutawala kila kitu,kuchunguza kila kitu,ambapo unaishia pabaya

Simama kidogo juu ya tabia ya kukurupuka, ya kutaka kukagua kila kitu, kujua kila kitu, kutawala kila kitu,kuchunguza kila kitu mahali ambapo unaishia kuwa mtupu

Papa:Kipindi cha Kwaresima wamaamini lazima kusimama,kutazama na kurudi!

15/02/2018 15:55

Vishawishi ambayo vinajitokeza ni vingi mno hivyo katika kipindi cha kwaresima ni mwafaka kukabiliana navyo kwani, iwapo tunda la imani ni upendo,tunda la kukata tamaa ni ubaridi na kutovumilia.Waamini wanapaswa kusimama,kutazama na kurudi kwa baba ili mioyo ipate wokovu kwa Mungu

 

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa kipindi cha Kwaresima: Siku 40 za mapambano ya maisha ya kiroho!

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za Mapambano dhidi ya jangwa la maisha ya kiroho!

Kipindi cha Kwaresima: Siku 40 za utakaso, toba na wongofu wa ndani!

13/02/2018 14:54

Kipindi cha Kwaresima ni safari ya Siku 40 katika Jangwa la maisha ya kiroho ili kutafakari kwa kina kuhusu Fumbo la Ukombozi, ili hatimaye, Wakristo waweze kujikita katika ahadi zao za Ubatizo unaosimikwa katika toba na wongofu wa ndani, Sala na Neno; Matendo ya huruma na Kufunga.

 

Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara; Ustawi, maendeleo na mafao ya wengi pamoja na demokrasia ni kiini cha Ujumbe wa Kwaresima kwa 2018 Tanzania

Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara, Ustawi, Maendeleo na Mafao ya wengi sanjari na demokrasia kama utekelezaji wa haki msingi za binadamu ni kiini cha Ujumbe wa Kwaresima kwa mwaka 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Ujumbe wa Kwaresima Tanzania: Uinjilishaji, maendeleo na demokrasia

13/02/2018 08:44

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 linakazia: Uinjilishaji unaomwilishwa katika matendo; Mwelekeo na hatima ya Tanzania katika sera na mikakati ya maendeleo endelevu pamoja na demokrasia kama sehemu ya utekelezaji wa haki msingi za binadamu.

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za kufunga, kusali, kutafakari na kujikita katika maisha ya Kisakramenti.

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, Siku 40 za kufunga na kusali; kutafakari na kufanya matendo ya huruma kiroho na kimwili pamoja na kujikita katika maisha ya Kisakramenti!

Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima!

13/02/2018 07:41

Mama Kanisa kila mwaka anaunganisha Fumbo la Yesu kujaribiwa jangwani kwa muda wa siku arobaini na Siku 40 za Kipindi cha Kwaresima: muda muada wa toba na wongofu wa ndani unaojikita katika maisha ya sala, tafakari ya Neno la Mungu, matendo ya huruma na maisha ya Kisakramenti!

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni nafasi ya kutangaza maadhimisho ya Mafumbo ya Kanisa yanayopata chimbuko lake katika Fumbo la Pasaka!

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni nafasi ya kutangaza maadhimisho ya Mafumbo ya Kanisa yanayopata chimbuko lake kutoka katika Fumbo la Pasaka.

Mbiu ya Mwaka wa Bwana 2018: Maadhimisho ya Mafumbo ya Kanisa

06/01/2018 12:00

Sherehe ya Tokeo la Bwana ni ufunuo wa Mtoto Yesu aliyezaliwa na Bikira Maria kuwa ni Mwana wa Mungu, Masiha na Mwanga wa Mataifa. Katika maadhimisho haya, Mama Kanisa anatangaza Mbiu ya Mwaka wa Bwana kwa kutaja tarehe za maadhimisho ya Mafumbo makuu ya Kanisa kwa Mwaka!

Papa Francisko anasema, utunzaji bora mazingira nyumba ya wote ni wajibu na dhamana ya kila mtu!

papa Francisko anasema, utunzaji bora wa mazingira nyumba ya wote ni dhamana ya kila mtu kwani madhara yake ni makubwa kwa familia ya binadamu.

Utunzaji bora wa mazingira ni dhamana na changamoto ya wote!

02/03/2017 15:15

Baba Mtakatifu Francisko anasema, utunzaji bora wa mazingira ni dhamana ya kila binadamu, kwa athari za mabadiliko ya tabianchi ni kubwa sana hasa miongoni mwa maskini. Hii inatokana na ukweli kwamba, kumekuwepo na matumizi makubwa ya rasilimali za dunia pamoja na uchafuzi wa mazingira!

Papa Francisko Jumatano ya Majivu ameongoza maandamanio ya toba, Ibada ya Misa Takatifu na Ibada ya Kupakwa Majivu mwanzo wa Kwaresima.

Papa Francisko Jumatano ya Majivu ameongoza Maandamano ya toba na wongofu wa ndani; akaadhimisha Ibada ya Misa Takatifu pamoja na Ibada ya kupakwa majivu.

Papa Francisko: uvuvio wa maisha ya Mungu ulete mageuzi ya upendo

02/03/2017 14:59

Baba Mtakatifu Francisko anasema, Mwenyezi Mungu anapenda kuendelea kuwavuvia wanadamu upendo katika maisha ili kuwaokoa kutoka kwenye msongo wa roho unaowasababishia ubinafsi, uchoyo na ukimya usiojali wala kuguswa na mahangaiko ya jirani zao; hatari kwa zawadi ya imani!

 

Kwaresima ni kipindi cha toba, wongofu wa ndani, imani, matumaini na mapendo!

Kwaresima ni kipindi cha toba, wongofu wa ndani, imani, matumaini na mapendo, tayari kushiriki katika maadhimisho ya Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wa Yesu!

Kwaresima: Siku 40 za kutembea katika Jangwa ya maisha ya kiroho!

01/03/2017 14:51

Kipindi cha Kwaresima ni safari ya maisha ya kiroho inayojikita katika matumaini, toba, imani, wongofu wa ndani na matendo ya huruma kielelezo makini cha imani tendaji! Ni wakati wa kujichimbia katika tafakari ya Neno la Mungu, ili kupyaisha maisha ya kiroho, tayari kuadhimisha Fumbo la Pasaka!