Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jumapili ya Pasaka ya Ufufuko wa Bwana

Papa Francisko: Yesu Mfufuka ni kiini cha imani, mapendo na matumaini ya binadamu wote!

Papa Francisko: Yesu Mfufuka ni kiini cha imani, matumaini na mapendo kwa binadanu wote!

Paulo alikuwa mtesi wa Kanisa akageuka kuwa mtangazaji wa habari njema

19/04/2017 15:54

Aliyekuwa mtesi wa Kanisa anageuka kuwa mtume, ni kwasababu gani?,yeye amemuona Yesu mzima, amemwona Yesu mfufuka.Hiyo ndiyo msingi wa imani ya Paulo,kama vile imani ya mitume wengine na kama ilivyo imani ya Kanisa  na  kama ilivyo imani yetu.Yesu amefufuka ni mzima

 

Katika kupeana heri na  matashi Askofu Mkuu Pizzaballa amesisitiza juu ya mahitaji ya kuwa viumbe mpya, wenye uwezo wa kupokea mambo mapya

Katika kupeana heri na matashi Askofu Mkuu Pizzaballa amesisitiza juu ya mahitaji ya kuwa viumbe mpya, wenye uwezo wa kupokea mambo mapya

Ujumbe wa Pasaka 2017 kutoka Nchi Takatifu: Tuwe viumbe wapya tena!

15/04/2017 15:51

Askofu Mkuu Pierbattista Pizzaballa amesema tunapaswa kugueka tena viumbe wapya kwa ajili ya maisha ya imani yetu na hata kwa ajili ya utu wetu,na huduma ambayo sisi wote tunahitaji na tunatakiwa kufanya.tuwe na ujasiri wa kujisalimisha maisha yetu kwa Kristo, kuruhusu upendo utukumbatie

 

 

Ufufuko wa wafu na maisha ya uzima wa milele ni sehemu ya Kanuni ya Imani ya Kanisa Katoliki.

Ufufuko wa wafu na maisha ya uzima wa milele ni sehemu ya Kanisa ya Imani ya Kanisa Katoliki.

Imani ya Kanisa katika Ufufuko wa wafu na uzima wa milele ijayo!

15/04/2017 14:05

Padre Reginald Mrosso leo anajitaabisha kidogo kutufafanulia ukweli kuhusu Fumbo la Mateso, kifo na ufufuko wa Kristo Yesu, kiini cha imani ya Kanisa. Ufufko wa Kristo Yesu kutoka kwa wafu kadiri ya Maandiko Matakatifu ni ushuhuda wa imani ya Wakristo wa kwanza inayoendelea hadi leo hii!

 

Ufufuko wa Yesu Kristo ni kilele cha ukweli wa imani ya Kanisa kwa Kristo!

Ufufko wa Yesu Kristo ni kilele cha ukweli wa imani ya Kanisa katika Kristo; imani ambayo Kanisa la Mwanzo iliusadiki, ikauishi na kuushuhudia na hatimaye kuurithisha kwa vizazi vilivyofuata.

Ni Pasaka ya Bwana, Tuishangilie na kuifurahia!

15/04/2017 08:59

Yesu Kristo aliyeteswa, akafa na kufufuka siku ya tatu kutoka kwa wafu ni kiini cha imani ya Kanisa na msingi wa Habari Njema ya Wokovu kwa watu wa Mataifa. Ufufuko wa Yesu Kristo ni kilele cha ukweli wa imani ya Kanisa katika Kristo, ambayo Kanisa la mwanzo liliishuhidia, likasadiki na kuuishi!