Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jumapili ya III Pasaka

Tarehe 15 Aprili Papa Francisko ametembelea Parokia ya Mt. Paulo wa Msalaba Roma

Tarehe 15 Aprili Papa Francisko ametembelea Parokia ya Mt. Paulo wa Msalaba Roma

Ziara ya Papa Francisko katika Parokia ya Mt.Paulo wa Msalaba,Roma!

16/04/2018 16:00

tarehe 15 Aprili 2018 mjaria ya jioni Baba Mtakatifu Francisko alitembelea Parokia ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Roma. Wakati wa mahubiri ya Misa amesisitiza juu ya  kuomba neema kwake Kristo aliye hai kwa maana amefufuka.Yeye ndiye maisha yetu na ujana wetu, anapyaisha ujana wa Kanisa

 

 

Ufufuko wa Kristo Yesu ni tukio la kihistoria, lakini kutokana mateso, mitume waliguswa na kutikiswa sana, ikawa vigumu kuamini ufufuko wa Kristo.

Ufufuko wa Kristo Yesu ni tukio la kihistoria ambalo limeshuhudiwa na mitume pamoja na wafuasi wa Kristo, lakini ilikuwa ni vigumu sana kwao kuamini mara moja kutokana na mateso na kifo cha Kristo Msalabani,

Tubuni na kuongoka, ili muweze kuwa ni mashuhuda wa Kristo Mfufuka

14/04/2018 17:09

Mama Kanisa anafundisha kwamba, Fumbo la Ufufuko ni tukio la kihistoria ambalo limeshuhudiwa na Mitume pamoja na wafuasi wa Kristo waliotikiswa na kuguswa sana kutokana na mateso na kifo cha Mwalimu wao. Kumbe, haikuwa rahisi sana kusadiki mara moja kuhusu Fumbo la Ufufuko!