Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jumapili ya 3 ya Pasaka

Kristo Mfufuka alijitahidi kuwafunulia wafuasi wake Fumbo la Ufufko na kuwaruhusu kugusa Madonda yake Matakatifu!

Kristo Yesu Mfufuka alijitahidi kuwafunulia Mitume wake Fumbo la Ufufuko kiasi cha kuwaruhusu kugusa Madonda yake Matakatifu.

Kristo Mfufuka ameondoa hofu na mashaka, sasa ni ushuhuda tu!

12/04/2018 15:50

Kristo Mfufuka alijitahidi kuwafafanulia wafuasi wake kuhusu Fumbo la Pasaka, yaani mateso, kifo na ufufuko wake, kwa kuwashirikisha wafuasi wake uhalisia wa maisha yake kama Mfufuka, akawaruhusu kugusa Madonda yake Matakatifu ili kuonja uwepo wake endelevu kama ilivyo hata katika kuumega mkate.

Wanafunzi walimtambua Kristo Mfufuka kwa Neno  na kwa kuumega Mkate!

Wanafunzi walimtambua Kristo Mfufuka kwa Neno na kwa kuumega mkate!

Fumbo la Ufufuko ni tendo la huruma na upendo wa Mungu kwa binadamu

28/04/2017 07:30

Wanafunzi walimtambua Yesu Mfufuka kwa ufafanuzi wa Neno pamoja na kuumega mkate, wakachangamotishwa kuwa ni mashuhuda wa kwenda kutangaza kwamba, kweli Kristo Yesu amefufuka kwa wafu! Waamini hata leo hii wanaalikwa kumtambua Kristo Mfufuka katika Neno, Sakramenti, historia na jirani zao!

 

Waamini wanaalikwa na Mama Kanisa kuwa ni wamissionari wa Neno na mashuhuda wa Fumbo la Ekaristi Takatifu.

Waamini wanaalikwa na Mama Kanisa kuwa ni Wamissionari wa Neno na mashuhuda wa Fumbo la Ekaristi Takatifu.

Iweni wamissionari wa Neno na Ekaristi Takatifu: Ushuhuda wenye mvuto

28/04/2017 07:00

Tafakari ya Neno la Mungu, Jumapili ya Tatu ya Kipindi cha Pasaka inawaalika waamini kutoka ili kumtangaza na kumshuhudia Kristo kwa njia ya Neno lake linagusa na kuchoma nyoyo za watu, lakini zaidi kwa njia ya maadhimisho ya Ekaristi Takatifu, chanzo na kilele cha maisha na utume wa Kanisa!