Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jubilei ya wazee

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe

Nia ya Maombi ya sala kwa mwezi wa 12 ni kwa ajili ya wazee wasisahuliwe!

05/12/2017 15:50

Utunzaji wa wazee ni muhimu kwa kuendeleza elimu kwa kizazi endelevu.Ndiyo ujumbe mkuu wa Baba Mtakatifu Francisko kwa njia ya video akiwakilisha nia ya sala kwa mwezi wa kumi na mbli.Anasisitizia juu ya kutazama na kujifunza kutoka katika hekima ya mababu na nafasi iliyopo katika jumuiya.

 

Wazee ni hazina inayopaswa kuheshimiwa na kuthaminiwa na wote!

Wazee ni hazina muhimu sana ya kijamii inayopaswa kuthaminiwa na wote dhidi ya utandawazi usiojali wala kuguswa na mahangaiko ya wazee duniani kwa vile eti hawazalishi wala kuchangia katika ukuaji wa uchumi.

Papa ; Kanisa linawapenda kwa dhati wazee

15/10/2016 13:16

Baba Mtakatifu Francisko katika maadhimisho ya Jubilei ya wazee nchini Italia amepinga kwa nguvu zote utamaduni wa kifo na utandawazi usiojaliwa wala kuguswa na mahangaiko ya wazee kwa kuwatenga na kuwasukumiza pembezoni mwa jamii kwa vile hawachangii katika mchakato wa uzalishaji mali!

 

Wazee ni hazina muhimu sana katika jamii wanapaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kuhudumiwa kikamilifu!

Wazee ni hazina muhimu sana katika maisha ya jamii yoyote ile, kumbe wanapaswa kuheshimiwa, kuthaminiwa, kuhudumiwa na kutunzwa dhidi ya utandawazi usiojali wala kuguswa na mahangaiko ya wazee kwa vile hawazalishi tena!

Jubilei ya vijana wa zamani! Yaani we acha tu!

14/10/2016 16:00

Vijana wa zamani, Jumamosi tarehe 15 Oktoba 2016 wanawasha moto wa hekima na busara kwa kuadhimisha Jubilei ya wazee kutoka sehemu mbali mbali za dunia, tukio ambalo linapambwa kwa uwepo na ushiriki wa Baba Mtakatifu Francisko, mzee mwenzao katika imani, ili kuwafunda vijana wa kizazi kipya.