Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jubilei ya Mwaka wa Padre Tanzania

Familia ya Mungu nchini Tanzania inamshukuru Mungu kwa zawadi ya wito, daraja na utume wa Mapadre!

Familia ya Mungu nchini Tanzania inamshukuru Mungu kwa zawadi, wito, maisha na utume wa Mapadre.

Familia ya Mungu Tanzania inamshukuru Mungu kwa zawadi ya Upadre

17/08/2017 14:38

Maadhimisho ya Jubilei ya Mwaka wa Padre imekuwa ni fursa ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha, wito na utume wa Upadre! Imekuwa ni fursa ya kujichunguza pale ambapo wamefanya vyema ili kumshukuru, kuomba toba na wongofu wa ndani, tayari kujiwekea sera na mikakati ya kuboresha maisha!

Familia ya Mungu nchini Tanzania imefunga rasmi mwaka wa Padre Kitaifa, tarehe 15 Agosti 2017.

Familia ya Mungu nchini Tanzania imefunga rasmi mwaka wa Padre kitaifa, kwa Ibada ya Misa Takatifu tarehe 15 Agosti 2017.

Kilele cha Mwaka wa Padre Tanzania: Ukuu, Utakatifu na Wito wa Upadre

16/08/2017 15:29

Askofu mkuu Protase Rugambwa, Katibu Mwambata wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu ambaye pia ni Rais wa Mashirika ya Kimissionari ya Kipapa ameongoza Ibada ya kufunga Mwaka wa Padre Tanzania na mahubiri kutolewa na Askofu msaidizi Methodius Kilaini wa Jimbo Katoliki Bukoba.

 

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania: kutambua ukuu na utakatifu wa Daraja Takatifu ya Upadre

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania: kutambua na kuthamini ukuu wa DarajaTakatifu ya Upadre katika maisha na utume wa Kanisa.

Yaliyojiri kilele cha maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania!

16/08/2017 14:00

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre nchini Tanzania imekuwa ni nafasi ya kutafakari: maisha, wito, dhamana, ukuu na utakatifu wa Daraja Takatifu ya Upadre katika maisha na utume wa Kanisa ndani na nje ya Tanzania. Kimekuwa ni kipindi cha kuhamasisha miito ya Daraja Takatifu ya Upadre!

Askofu Msonganzila wa Jimbo la Musoma katika Barua yake ya kichungaji "Upendo kwa Utume" anafafanua umuhimu wa Jubilei katika maisha ya waamini.

Askofu Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma katika Barua yake ya kichungaji "Upendo kwa Utume" anafafanua maana na umuhimu wa maadhimisho ya Jubilei mbali mbali nchini Tanzania.

Askofu Msonganzila afafanua Jubilei ya Miaka 150, 100 na 60 ya Jimbo

14/08/2017 14:53

Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma katika Barua yake ya kichungaji "Upendo kwa Utume" anafafanua maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya uinjilishaji Tanzania Bara, Miaka 100 ya Upadre na Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Jimbo la Musoma na umuhimu wake kwa watu wa Mungu!

Sherehe ya Kupalizwa Mbinguni kwa Mwaka 2017 ni kilele pia cha Mwaka wa Padre Tanzania

Sherehe ya Kupalizwa kwa Bikira Maria Mbinguni kwa Mwaka 2017 inakwenda sanjari na Kilele cha Mwaka wa Padre Tanzania.

Sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni na Mwaka wa Padre Tanzania

14/08/2017 09:19

Maadhimisho ya Sherehe ya Bikira Maria kupalizwa mbinguni mwili na roho yanakwenda sanjari na kufunga rasmi Jubilei ya Mwaka wa Padre Tanzania; kumbu kumbu ya miaka 100 tangu Mapadre wa kwanza walipopewa Daraja Takatifu ya Upadre nchini Tanzania, tarehe 15 Agosti 1917.

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi, maisha, utume na mambo msingi ya kuzingatiwa na Mapadre wenyewe!

Mwaka wa Padre Tanzania: Malezi: awali na endelevu; maisha, wito na utume pamoja na mambo msingi wanayopaswa kuzingatiwa na Mapadre.

Mwaka wa Padre Tanzania: Uchambuzi wa malezi, maisha na utume wake!

12/08/2017 12:36

Familia ya Mungu nchini Tanzania inaadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara sanjari na Jubilei ya Miaka 100 tangu Tanzania ilipopata Mapadre wa kwanza wazalendo. Leo hii tunaangalia: malezi, maisha, utume na mambo yanayopaswa kupewa kipaumbele cha kwanza na Mapadre!

Mwaka wa Padre Tanzania unahitimishwa tarehe 15 Agosti 2017: Sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni mwili na roho!

Mwaka wa Padre Tanzania unahitimishwa rasmi tarehe 15 Agosti 2017 wakati wa Sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa mbinguni.

Kilele cha Mwaka wa Padre Tanzania: Vigogo kutoka Vatican kushiriki

11/08/2017 14:09

Askofu mkuu Protase Rugambwa, Katibu Mwambata wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu ambaye pia ni Rais wa Mashirika ya Kimisionari ya Kipapa pamoja na Askofu mkuu Marek Solczynski, Balozi wa Vatican nchini Tanzania wanashiriki katika kufunga Mwaka wa Padre nchini Tanzania!

Askofu Rwoma: Mapadre: lindeni, upendeni na kuuthamini wito na maisha yenu ya Kipadre!

Askofu Desiderius Rwoma: Mapadre: lideneni, upendeni na kuuthamini wito na maisha yenu ya Kipadre.

Askofu Rwoma: Mwaka wa Padre: Dumisheni utii; shindeni ubaya kwa wema

28/07/2017 14:29

Askofu Desiderius Rwoma wa Jimbo Katoliki Bukoba alizaliwa kunako mwaka 1947, akapewa Daraja Takatifu ya Upadre tarehe 28 Julai 1974. Mwaka 1999 akateuliwa na Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI kuwa Askofu wa Singida. Mwaka 2013 akateuliwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba.