Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jubilei ya Miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri

Papa Francisko ni shuhuda wa majadiliano ya kiekumene yanayowawezesha Wakristo kutembea, kusali na kufanya kazi kwa umoja kwa ajili ya huduma!

Papa Francisko ni shuhuda na chombo cha majadiliano ya kiekumene kinachowawezesha Wakristo kutembea, kusali na kufanya kazi katika umoja kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya watu wa Mungu sehemu mbali mbali za dunia.

Papa Francisko ni shuhuda wa majadiliano ya kiekumene katika huduma

13/03/2018 07:47

Baba Mtakatifu Francisko, tarehe 13 Machi 2018 anaadhimisha kumbu kumbu ya miaka 5 tangu alipochaguliwa kuliongoza Kanisa Katoliki kwa kulitaka Kanisa kujielekeza zaidi katika: huduma kwa maskini kama amana na utajiri wa Kanisa; Amani na Utunzaji Bora wa Mazingira bila kusahau Uekumene!

Tarehe 25 Januari Papa amekutana na wawakilishi wa Kanisa la Kiluteri la Finland

Tarehe 25 Januari Papa amekutana na wawakilishi wa Kanisa la Kiluteri la Finland

Papa Francisko amekutana na wawakilishi wa Kanisa la Kiluteri la Finland!

25/01/2018 16:05

Katika tukio la kuadhimisha kumbukumbu ya Mtakatifu Henrik.Kanisa la Kiinjili la Kiluteri nchini Finland, wamefanya hija mjini Roma.Katika fursa hiyo wawakilishi wamekutana na kuzungumza na Baba Mtakatifu Francisko Alhamisi 25 Januari 2018,na Papa ametoa hotuba yake juu ya mageuzi

 

Msalaba uliotengenezwa kwa ajili ya tukio la maadhimisho ya Jubilei ya miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri Lund-Sweden

Msalaba uliotengenezwa kwa ajili ya tukio la maadhimisho ya Jubilei ya miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri huko Lund 2016

Msalaba wa Kiekumene kutoka Lund,umepelekwa jijini Geneva!

20/01/2018 13:57

Tarehe 18 Januari 2018,Msalaba wa Lund umewekwa katika Kanisa dogo kwenye Kituo cha Kiekumene huko Geneva,kama ishara inayoonekana ya hatua ya mchakato wa mapatano iliyo anzishwa na wakatoliki na waluteri.Tukio la Msalaba limefanyika wakati wa ufunguzi Juma la Maombi ya Umoja wa Wakristo

 

Mwaka 2017 umesheheni matukio makubwa ya kiekumene katika: damu, maisha ya kiroho, sala na huduma

Mwaka 2017 umesheheni matulio makubwa ya kiekumene: katika ushuhuda wa damu, maisha ya kiroho, sala na huduma kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii.

Kardinali Kurt Koch: dini na amani vinategemeana na kukamilishana!

03/01/2018 06:54

Kumekuwepo na manaikio makubwa katika mchakato wa majadiliano ya kiekumene yanayosimikwa katika ushuhuda wa damu, maisha ya sala, maisha ya kiroho na huduma makini kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii! Iko siku Wakristo wote wataadhimisha Fumbo la Ekaristi!

Papa Francisko anawataka vijana kuhakikisha kwamba wanajenga urafiki na Kristo Yesu, ili kuwa ni mashuhuda na vyombo vya furaha ya Injili.

Papa Francisko anawataka vijana kuhakikisha kwamba, wanajenga urafiki na Kristo Yesu, ili waweze kuwa ni vyombo na mashuhuda wa Injili ya furaha!

Vijana jengeni utamaduni wa umoja, udugu na mshikamano kama ushuhuda

29/12/2017 16:03

Baba Mtakatifu Francisko anawataka vijana kujenga utamaduni wa umoja, udugu na mshikamano wa dhati kama ushuhuda wa furaha inayobubujika kutoka katika Moyo Mtakatifu wa Yesu; tayari kuwashirikisha vijana wenzao wanaoteseka katika maisha kutokana na sababu mbali mbali! Vijana ni jeuri ya Kanisa.

Jubilei Miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri Duniani, kumekuwepo na mafanikio makubwa katika majadiliano ya kiekumene!

Jubilei ya Miaka 500 ya Mageuzi ya Kiluteri Duniani, kumekuwepo na mafanikio makubwa katika mchakato wa majadiliano ya kiekumene duniani miongoni mwa Makanisa!

Majadiliano ya kiekumene: Umoja, ushuhuda na huduma makini kwa maskini

20/12/2017 11:30

Katika kipindi cha miaka 50 ya Majadiliano ya kiekumene, kumekuwepo na mafanikio makubwa katika mchakato wa ujenzi wa umoja, upendo, mshikamano na ushuhuda mintarafu mwanga wa Injili, Mapokeo na tunu msingi zinazofumbatwa katika maisha ya Kikristo kama kielelezo cha imani tendaji!

Makanisa Ulimwenguni yanapaswa kujikita katika uekumene wa huduma kama kielelezo cha ushuhuda wa imani tendaji kwa Kristo na Kanisa lake!

Makanisa Ulimwenguni yanapaswa kujikita katika mchakato wa uekumene wa huduma kama kielelezo cha ushuhuda wa imani tendaji kwa Kristo na Kanisa lake.

Baraza la Makanisa Ulimwenguni: huduma ya kiekumene & maendeleo makini

18/12/2017 10:20

Umefika wakati kwa Makanisa kusoma alama za nyakati, ili kujielekeza zaidi katika huduma makini ya kiekumene itakayosaidia kuenzi mchakato wa ujenzi wa umoja na mshikamano miongoni mwa Makanisa ya Kikristo kama kielelezo makini cha ushuhuda na imani tendaji kwa Kristo na Kanisa lake!

Papa anakumbuka sala ya pamoja ya tarehe 31 Oktoba 2016 waliposali pamoja huko Lund Sweden,mahali lilipoanzishwa Shirikisho la Kiluteri duniani.

Papa anakumbuka sala ya pamoja ya tarehe 31 Oktoba 2016 waliposali pamoja huko Lund Sweden,mahali lilipoanzishwa Shirikisho la Kiluteri duniani.

Papa:Tuondokane na vikwazo juu ya Luteri na wakatoliki wasiwe kamwe maadui!

07/12/2017 16:12

Baba Mtakatifu amekutana na wajumbe wa Shirikikisho la Kiluteri  duniani mjini Vatican, walioongozwa na Askofu Mkuu wa Nigeria Musa Panti Filibus.Baba Mtakatifu anakumbuka kwa namna ya pekee katika vipindi vyote vya mikutano ya  kiekume vilivyofanyika katika kipindi mwaka wa mageuzi