Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jubilei ya miaka 50

Jumuiya ya Yohane XXIII mwaka 2018 inaadhiisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.

Jumuiya ya Yohane XXIII mwaka 2018 inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake na Don Oreste Benzi kunako mwaka 1968.

Jumuiya ya Papa Yohane XXIII inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50

24/05/2018 15:47

Jumuiya ya Papa Yohane XXIII iliyoanzishwa kunako mwaka 1968 na Don Oreste Benzi kama kielelezo cha umoja, upendo, udugu na mshikamano wa Kiinjili kwa maskini na watu wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50  ya uwepo na utume wake katika nchi 42 duniani! Si haba!

Tarehe 11 Machi Papa Francisko atakutana na Jumuiya ya Mt.Egidio kufuatia tukio la miaka 5 ya kuanzishwa na Andrea Riccardi

Tarehe 11 Machi Papa Francisko atakutana na Jumuiya ya Mt.Egidio kufuatia tukio la miaka 5 ya kuanzishwa na Andrea Riccardi

Papa Francisko atakutana na Jumuiya ya Mt.Egidio tarehe 11 Machi 2018!

03/03/2018 13:28

Msemaji mkuu wa Vatican Bw.Grek Burke anathibitisha kuwa tarehe 11 Mach 2018 saa 10.30 jioni  masaa ya Ulaya katika uwanja wa Mtakatifu Maria Trastevere,Baba Mtakatifu Francesko atakutana na Jumuiya ya Mtakatifu Egidio,kufuatia tukio la maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.
 

 

Jimbo Katoliki Nakuru, Kenya linaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kunako mwaka 1968

Jimbo Katoliki Nakuru, Kenya linaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake kunako tarehe 11 Januari 1968.

Jubilei ya Miaka 50 ya Jimbo Katoliki Nakuru, Kenya

11/01/2018 16:17

Familia ya Mungu Jimbo Katoliki Nakuru nchini Kenya ina mwimbia Mwenyezi Mungu utenzi wa sifa na shukrani kwa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu walipopokea zawadi ya imani ambayo wameilinda, wameishuhudia na kurithisha kwa vijana wa kizazi kipya! Hatua muhimu katika maisha yao!

Kama wakristo wa Uganda ni lazima kujibu maneno ya Yesu kwa kusikiliza kilio cha masikini, wagonjwa, wanaobaguliwa, wahamiaji ,wakimbizi, waathirika

Kama wakristo wa Uganda ni lazima kujibu maneno ya Yesu kwa kusikiliza kilio cha masikini, wagonjwa, wanaobaguliwa, wahamiaji , wakimbizi, waathirika wa migogoro ya kivita

Kard.Filoni anasema upendo wa Yesu unajipanua katika kukaribisha

30/10/2017 15:08

Kardinali F. Filoni Mwenyekiti wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji, wakati wa Maadhimisho ya hitimisho la Jubilei ya Miaka 50 ya Jimbo Kuu la Kampala nchini Uganda, iliyohitimishwa Jumapili 29 Oktoba kwenye madhabahu ya Mashahidi wa Uganda Namugongo amewataka wakristo wasikilize Yesu 

 

Baraza la Kimethodisti Duniani

The World Methodist Council

Jubilei ya Miaka 50 ni kipindi cha: Umoja, Utakatifu na Upatanisho

19/10/2017 15:10

Mababa wa Mtaguso Mkuu wa Pili wa Vatican kuhusiana majadiliano ya kiekumene wanakazia umuhimu wa kuandamana kwa pamoja kwa kuutamani ukweli, kwa upendo na unyenyekevu, ili kujenga na kudumisha madaraja ya kuwakutanisha Wakristo katika unyenyekevu na ukweli na kujifunza kutoka kwa wengine.