Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jubilei ya miaka 200

Miaka 200 ya Uinjilishaji kusini mwa Afrika, mwanga wa mshikamano

Miaka 200 ya Uinjilishaji kusini mwa Afrika, mwaka wa mshikamano

Jubilei ya miaka 200 Kanisa katoliki Afrika kusini

16/06/2017 14:55

Kanisa katoliki linaadhimisha miaka 200 ya Uinjilishaji kusini mwa Afrika tangu kuundwa rasmi Vikarieti ya Cape of good hope kwa Tamko la Baba Mtakatifu Pius VII mnamo tarehe 7 Juni 1818. Ekaristi Takatifu, mshumaa, huduma za afya na elimu ishara za upendo, mshikamano na udugu.