Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jubilei ya miaka 150 ya Ukristo Tanzania

Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara; Ustawi, maendeleo na mafao ya wengi pamoja na demokrasia ni kiini cha Ujumbe wa Kwaresima kwa 2018 Tanzania

Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara, Ustawi, Maendeleo na Mafao ya wengi sanjari na demokrasia kama utekelezaji wa haki msingi za binadamu ni kiini cha Ujumbe wa Kwaresima kwa mwaka 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania.

Ujumbe wa Kwaresima Tanzania: Uinjilishaji, maendeleo na demokrasia

13/02/2018 08:44

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 linakazia: Uinjilishaji unaomwilishwa katika matendo; Mwelekeo na hatima ya Tanzania katika sera na mikakati ya maendeleo endelevu pamoja na demokrasia kama sehemu ya utekelezaji wa haki msingi za binadamu.

Ujumbe wa Kwaresima kwa mwaka 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Uinjilishaji, mwelekeo na hatima ya Tanzania, demokrasia & haki msingi

Ujumbe wa Kwaresima kwa mwaka 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania unapembua maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukristo Tanzania Bara, Miaka 50 ya tamko la Mwelekeo na hatima ya Tanzania pamoja na masuala ya demokrasia na haki msingi za binadamu.

Ujumbe wa Kwaresima 2018 kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania

11/02/2018 07:55

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa Mwaka 2018 linapembua changamoto ya uinjilishaji Tanzania Bara katika kipindi cha miaka 150 na matumaini kwa siku za usoni; mwelekeo na hatima ya Tanzania pamoja na uchaguzi wa serikali za vitaa kwa mwaka 2019.

 

Parokia ya Kupaa Bwana Mbinguni, Manyoni, Jimbo Katoliki Singida inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.

Parokia ya Kupaa Bwana Mbinguni, Manyoni, Jimbo Katoliki Singida inaadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.

Jubilei ya Miaka 50 ya Parokia ya Manyoni, Jimbo Katoliki Singida

17/10/2017 10:33

Jubilei ya Miaka 50 Parokia ya Kupaa Bwana Mbinguni, Manyoni, Jimbo Katoliki Singida inaongozwa na kauli mbiu "Jubilei Manyoni, Imani na Matendo". Huu ni muda wa kupyaisha na kuimarisha imani katika matendo; Jumuiya ndogo ndogo za Kikristo; kanuni maadili na utu wema; miundo mbinu na uongozi.

Sherehe ya Kupalizwa Mbinguni kwa Mwaka 2017 ni kilele pia cha Mwaka wa Padre Tanzania

Sherehe ya Kupalizwa kwa Bikira Maria Mbinguni kwa Mwaka 2017 inakwenda sanjari na Kilele cha Mwaka wa Padre Tanzania.

Sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni na Mwaka wa Padre Tanzania

14/08/2017 09:19

Maadhimisho ya Sherehe ya Bikira Maria kupalizwa mbinguni mwili na roho yanakwenda sanjari na kufunga rasmi Jubilei ya Mwaka wa Padre Tanzania; kumbu kumbu ya miaka 100 tangu Mapadre wa kwanza walipopewa Daraja Takatifu ya Upadre nchini Tanzania, tarehe 15 Agosti 1917.

Mwaka wa Padre Tanzania unahitimishwa tarehe 15 Agosti 2017: Sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa Mbinguni mwili na roho!

Mwaka wa Padre Tanzania unahitimishwa rasmi tarehe 15 Agosti 2017 wakati wa Sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa mbinguni.

Kilele cha Mwaka wa Padre Tanzania: Vigogo kutoka Vatican kushiriki

11/08/2017 14:09

Askofu mkuu Protase Rugambwa, Katibu Mwambata wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu ambaye pia ni Rais wa Mashirika ya Kimisionari ya Kipapa pamoja na Askofu mkuu Marek Solczynski, Balozi wa Vatican nchini Tanzania wanashiriki katika kufunga Mwaka wa Padre nchini Tanzania!

Askofu Mkuu Dallu: Kanisa ni mdau mkuu wa maendeleo endelevu ya binadamu na wala si mfanyabiashara

Askofu mkuu Damiani D. Dallu: Kanisa ni mdau mkuu wa maendeleo na wala si mfanyabiashara!

Tanzania: Kanisa ni mdau mkuu wa maendeleo na wala si mfanya biashara

09/08/2017 12:16

Kanisa Katoliki nchini Tanzania limekuwa ni mdau mkuu wa maendeleo endelevu ya binadamu: kiroho na kimwili. Linaendelea kuwekeza katika sekta ya elimu, afya, ustawi na maendeleo ya watanzania wote pasi na ubaguzi na wala si chombo cha biashara, bali mdau mkuu katika huduma makini!

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki.

Bagamoyo ni mlango wa imani Afrika Mashariki!

11/07/2017 15:32

Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania Bara na Miaka 100 ya Upadre Tanzania ni fursa inayotumiwa na Askofu mkuu Josephat Lebulu wa Jimbo Kuu la Arusha na Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki Musoma kufafanua umuhimu wa mji wa Bagamoyo kama mlango wa imani!

Mwaka wa Padre Tanzania ukuze na kuimarisha utambulisho wa Padre Mkatoliki.

Mwaka wa Padre Tanzania ukuze na kuimarisha zaidi utambulisho wa Padre Mkatoliki anasema Askofu Michael Msonganzila wa Jimbo Katoliki la Musoma katika Barua yake ya kichungaji upendo kwa utume.

Mwaka wa Padre Tanzania: Utambulisho wa Padre Mkatoliki!

07/07/2017 17:28

Maadhimisho ya Mwaka wa Padre Tanzania iwe ni fursa ya kukuza na kuimarisha utambulisho wa Padre Mkalatoliki kwa njia ya ushuhuda wenye mvuto na mashiko kama walivyofanya watakatifu Marximilliano Maria Kolbe kwa kujisadaka kwa ajili ya huduma ya upendo kwa jirani zao!