Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jubilei ya miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania

TEC: Kwaresima 2018: Jubilei Miaka 50 ya Ukatoliki na Uinjilishaji; Miaka 50 ya Hatima ya Tanzania & Haki Msingi za Binadamu.

TEC: Kwaresima 2018: Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki na Uinjilishaji Tanzania Bara; Miaka 50 tangu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania litoe Waraka kuhusu Hatima ya Tanzania na Maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, 2019.

TEC: Kwaresima 2018: Jubilei ya Miaka 150, Maendeleo & Haki msingi!

27/03/2018 13:56

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa mwaka 2018, limetoa dira na mwelekeo wa tafakari kuhusu maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki na Uinjilishaji Tanzania Bara; Miaka 50 ya Waraka wa Hatima ya Tanzania pamoja na Haki msingi za binadamu!

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima linaitaka familia ya Mungu kujiuliza swali la msingi Je, ndugu yako yuko wapi?

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linaialika familia ya Mungu kujiuliza swali la msingi, Je, ndugu yako yuko wapi?

Maaskofu Katoliki Tanzania: Kwani mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?

22/03/2018 15:05

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika ujumbe wake wa Kwaresima kwa mwaka 2018 linaitaka familia ya Mungu kujiuliza swali msingi "Ndugu yako yuko wapi? Huu ni mwaliko wa kutafakari mahusiano na mafungamano yao kama watanzania katika masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii!

Ufuasi wa kweli kwa Kristo Yesu unafumbatwa katika: ari ya kimisionari, sadaka na ushuhuda wa imani katika matendo!

Ufuasi wa kweli kwa Kristo Yesu unafumbatwa katika ari ya kimisionari, sadaka na ushuhuda wa maisha ya kila siku!

Baraza la Makanisa Ulimwenguni: Utume unafumbata sadaka na ushuhuda

14/03/2018 09:45

Baraza la Makanisa Ulimwenguni katika mkutano wake mkuu wa uinjilishaji ulimwenguni, limefafanua kwamba, utume na ufuasi kwa Kristo Yesu na Kanisa lake kwa namna ya pekee kabisa, unafumbatwa katika:ari na nia thabiti ya kumfuasa Kristo pamoja na ushuhuda wenye mvuto na mashiko, kila siku!

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Kilele cha Jubilei, tarehe 7 Oktoba 2018: Kauli mbiu: Miaka 150 ya Uinjilishaji, Furaha ya Injili.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Kilele cha Jubilei Jumapili tarehe 7 Oktoba, 2018. Kauli mbiu: Miaka 150 ya Uinjilishaji, Furaha ya Injili.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Maelekezo muhimu!

09/03/2018 15:30

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania linatangaza kwamba, kilele cha Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara ni Jumapili tarehe 7 Oktoba 2018 huko Bagamoyo kwa kuongozwa na kauli mbiu: Miaka 150 ya Uinjilishaji, Furaha ya Injili. Jumapili tarehe 10 Machi 2018 waamini wanaalikwa kuchangia.

Familia ya Mungu Barani Afrika! Sasa ni zamu yenu kuwa wamisionari ili kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu!

Familia ya Mungu Barani Afrika! Sasa ni zamu yenu kutangaza na kushuhudia Habari Njema ya Wokovu kati ya watu wa Mataifa.

Wakristo Barani Afrika! Sasa ni zamu yetu kuwa wamisionari!

06/03/2018 08:16

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania linahimiza roho na sadaka ya umisionari na kwamba, sasa ni zamu ya Wakristo Barani Afrika kuwa wamisionari kwa kuwasaidia wengine kukua kiroho, kuamsha imani, kutangaza na kushuhudia Injili!

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara linazungumzia dhana ya umisionari!

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara linazungumzia kuhusu dhana, roho na sadaka ya kimisionari nchini Tanzania.

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania: Roho na sadaka ya umisionari

01/03/2018 13:36

Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania katika maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara, yatakayofikia kilele chake hapo tarehe 7 Oktoba 2018 badala ya tarehe 2 Oktoba 2018, katika sura ya kwanza linapembua kuhusu: dhana, roho na sadaka ya umisionari nchini Tanzania!

Uongozi ni huduma na sadaka kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya familia ya Mungu.

Uonghozi ni huduma na sadaka kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya familia ya Mungu.

Watanzania: Uongozi ni huduma na sadaka kwa ajili ya watu wa Mungu!

27/02/2018 07:53

Familia ya Mungu nchini Tanzania inapoadhimisha Jubilei ya Miaka 150 ya Ukatoliki Tanzania Bara, kwa kuongozwa na kauli mbiu "Miaka 150 ya Uinjilishaji, Furaha ya Injili" wanakumbushwa kwamba, uongozi ni huduma na sadaka kwa ajili ya ustawi, maendeleo na mafao ya familia ya Mungu!

Askofu Mkuu Ruwaichi asema, kuna baadhi ya vyombo vya habari vimefifisha ujumbe wa Kwaresima ili kuligombanisha Kanisa na Serikali.

Askofu Mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi asema, kuna baadhi ya vyombo vya habari vimefifisha ujumbe wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kwa kipindi cha Kwaresima kwa mwaka 2018 ili kuligombanisha Kanisa na Serikali.

Askofu Mkuu Ruwaichi: Ujumbe wa Kwaresima 2018 umefifishwa sana!

19/02/2018 09:29

Askofu Mkuu Yuda Thaddeus Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Mwanza katika mahojiano maalum na Vatican News anasikitika kusema kwamba, baadhi ya vyombo vya mawasiliano ya jamii ndani na nje ya Tanzania vimefifisha sana Ujumbe wa Maaskofu Katoliki Tanzania katika Kipindi cha Kwaresima 2018.