Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jirani yangu ni nani?

Askofu Galantino anasema kuwa jirani ni mtu ninaye kutana naye, ni mtu yoyote ambaye anapitia mchakato wa historia ya maisha yangu ya kila siku

Askofu Galantino anasema kuwa jirani ni mtu ninaye kutana naye, ni mtu yoyote ambaye anapitia mchakato wa historia ya maisha yangu ya kila siku,

Askofu Nunzio Galantino:Jirani ni mtu ninaye kutana naye na kuwa na ukaribu!

09/03/2018 15:24

Jirani ni mtu ninayekutana naye,ni mtu yoyote ambaye anapitia mchakato wa historia ya maisha yangu ya kila siku.Jambo muhimu si kutaka kutambua yeye ni nani,bali kuwa na mtazamao wa macho ya ukaribu.Huo ni uthibitisho katika mahubiri ya Askofu Mkuu Nunzio Galantino Katibu wa CEI

 

 

Monsinyo Vigano: Mawasiliano ya Baba Mtakatifu ni ya moja kwa moja

06/10/2017 15:49

Katika Mkutano wa Toleo la 30 la Wiki ya mafuzno ya Kiteolojia,Monsinyo Vigano anaelezea njia mpya za Mawasiliano. Akitafakari namna ya mawasiliano ya Baba Mtakatifu anasema uhusiano wake  ni ule unaojikita katika jadi kwa maana ya mazungumzo ya moja kwa moja na jamii na vijana  

 

Upendo kwa Mungu na jirani kiwe ni kielelezo na utambulisho wa Wakristo na watu wote wenye mapenzi mema!

Upendo kwa Mungu na jirani uwe ni utambulisho wa Wakristo na watu wote wenye mapenzi mema.

Upendo kwa jirani ndiyo bendera ya ukamilifu!

16/02/2017 16:09

Kanuni ya dhahabu ni mwongozo wa maisha unaomtaka mwamini kutenda kama ambavyo angependa kutendewa na jirani yake! Ikiwa kama binadamu ataongozwa na kanuni hii, hapana shaka dunia ingeweza kuwa ni mahali pazuri zaidi pa kuishi kwa kujikita katika haki, upendo na mshikamano wa dhati