Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo Kuu la Villavicencio, Colombia

Baba Mtakatifu Francisko katika katekesi Jumatano 13 Septemba 2017 ameelezea juu ya ziara yake ya kitume ya hivi karibuni nchini Colombia

Baba Mtakatifu Francisko katika katekesi Jumatano 13 Septemba 2017 ameelezea juu ya ziara yake ya kitume ya hivi karibuni nchini Colombia

Papa amelezea ziara yake ya Kitume nchini Colombia katika Katekesi

13/09/2017 16:06

Katika Katekesi yake Baba Mtakatifu Mjini Vatican Jumatano 13 Sept amameliza kwa ufupi ziara yake ya kitume kwamba,kwa mara nyingine tena anawawakabidhi watu wote wapendwa wa Colombia kwa mama Maria, mama yetu wa Chiquinquirá aliyeweza kumtolea heshima katika Kanisa Kuu

 

Papa Francisko amesikitishwa sana na maafa makubwa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi pamoja na tufani ya Irma.

Papa Francisko amesikitishwa sana na madhara makubwa yaliyosababishwa na tetemeko la ardhi nchini Mexico pamoja na tufani ya Irma kwenye Ukanda wa Caribbean.

Papa Francisko asikitishwa na maafa makubwa ya majanga asilia!

09/09/2017 14:34

Baba Mtakatifu Francisko akiwa Jimboni Villavicencio amesitikishwa sana na maafa makubwa yaliyosababishwa na majanga asilia yaani: tetemeko la ardhi nchini Mexico pamoja na "Tufani ya Irma" ambayo imesababisha watu kadhaa kupoteza maisha; uharibifu mkubwa wa miundo mbinu na makazi ya watu!