Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo kuu la Tabora

Mashemasi ni mashuhuda na vyombo vya Neno, Sakramenti na Injili ya upendo!

Mashemasi ni mashuhuda na vyombo vya Neno la Mungu, Sakramenti za Kanisa na Injili ya upendo miongoni mwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni mwa jamii!

Mashemasi ni vyombo na mashuhuda wa Neno, Sakramenti na huduma makini

29/01/2018 08:21

Askofu Mkuu Salvatore Rino Fisichella amewakumbusha Mashemasi wapya wa Shirika la Mapendo kwamba, wameitwa na sasa wanatumwa kutangaza na kushuhudia Neno la Mungu, Sakramenti za Kanisa; mambo yanayomwilishwa katika Injili ya upendo kwa maskini na wale wote wanaosukumizwa pembezoni.

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Maaskofu Katoliki Tanzania wanaitaka familia ya Mungu nchini humo kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo na mshikamano wa kitaifa!

Changamoto kutoka kwa Maaskofu kwa familia ya Mungu nchini Tanzania

09/01/2018 10:30

Maaskofu Katoliki nchini Tanzania katika kipindi cha Noeli na Mwaka Mpya 2018 wametumia fursa hii kuitaka familia ya Mungu nchini Tanzania kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani, upendo, na umoja wa kitaifa; kwa kukazia kanuni maadili, malezi na utu wema; pamoja na kudumisha majadiliano.

Sinodi ya kwanza ya Jimbo kuu la Tabora ilikuwa ni nafasi ya kutembea pamoja kama familia ya Mungu ili kujadiliana sera na mikakati ya kichungaji.

Sinodi ya kwanza ya Jimbo kuu la Mwanza ilikuwa ni nafasi ya familia ya Mungu kutembea kwa pamoja, ili kujadiliana sera na mikakati ya shughuli za kichungaji.

Jimbo kuu la Tabora na changamoto za Chama cha Wakarismatiki!

05/06/2017 07:26

Askofu mkuu Paul Ruzoka wa Jimbo kuu la Tabora anasema, Sinodi ya Jimbo imekuwa ni fursa muafaka wa kutembea pamoja kama familia ya Mungu Jimboni humo na hivyo kupata kujadili kwa kina na mapana: utume na maisha ya Kanisa; changamoto na matarajio ya Jimbo kuu la Tabora.