Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo kuu la Roma

Papa Francisko amemteua Askofu Angelo De Donatis kuwa Askofu mkuu na Makamu Askofu Jimbo kuu la Roma.

Papa Francisko amemteua Askofu Angelo De Donatis kuwa Askofu mkuu na Makamu Askofu Jimbo kuu la Roma.

Askofu Angelo De Donatis ateuliwa kuwa Makamu Askofu Jimbo kuu la Roma

26/05/2017 16:07

Askofu mkuu mteule Angelo De Donatis ameteuliwa na Baba Mtakatifu Francisko kuwa Makamu Askofu Jimbo Kuu la Roma. Itakumbukwa kwamba, alizaliwa mwaka 1954, akapewa Daraja ya Upadre 1980; mwaka 2014 akateuliwa na Papa Francisko kuwa ni Askofu msaidizi Jimbo kuu la Roma.

 

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jumapili kuanzia mwaka 2017.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jumapili kuanzia Mwaka 2017.

Sherehe ya Ekaristi Takatifu kuadhimishwa Jimboni Roma, Jumapili

19/05/2017 09:30

Baba Mtakatifu Francisko ameridhia uamuzi wa kuadhimisha Sherehe ya Ekaristi Takatifu ambayo kadiri ya Mapokeo, imekuwa ikiadhimishwa Alhamisi Jimbo kuu la Roma kuanzia mwaka 2017 itaadhimisha Jumapili, ili kutoa nafasi kwa waamini wengi kushiriki katika kuadhimisha na kushuhudia imani yao!

Madhabahu ya Mama Maria Mkuu  mahali ambapo Baba Mtakatifu kabla ya kwenda au baada ya kurudi anakuja katika Kanisa hili kuomba na kutoa shukrani.

Madhabahu ya Mama Maria Mkuu mahali ambapo Baba Mtakatifu kabla ya kwenda au baada ya kurudi anakuja katika Kanisa hili kuomba na kutoa shukrani.

Vijana salini Rosari ili kupata ujasiri na nguvu katika maisha!

15/05/2017 13:11

Maandalizi ya mkesha kwa vijana yamekuwa sambamba  pande za dunia,kuanzia Roma, Fatima ,Buenos Aires,Czestochowa na Nazaret na nyinginezo. Ni hatua ya sala ya Maria kwa vijana iliyo andaliwa  kusali Rosari wakiungunika moja kwa moja katika madhabahu makuu manne kusalia Rosali Takatifu

 

 

Katika maadhimisho ya Jumapili ya Mchungaji mwema, Siku ya 54 ya Kuombea Miito, Papa Francisko anatarajiwa kutoa Daraja ya Upadre kwa Mashemasi 10.

Katika maadhimisho ya Jumapili ya Mchungaji Mwema, Siku ya 54 ya Kuombea Miito, Papa Francisko anatarajiwa kutoa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi 10 kutoka Jimbo kuu la Roma.

Papa Francisko kutoa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi 10

04/05/2017 10:44

Katika maadhimisho ya Jumapili ya Nne ya Kipindi cha Pasaka, Baba Mtakatifu Francisko anatarajiwa kutoa Daraja Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi 10 wakati wa maadhimisho ya Siku ya 54 ya Kuombea Miito Duniani inayoongozwa na kauli mbiu: "Tukisukumwa na Roho Mtakatifu kwa ajili ya utume"