Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo kuu la Medellìn, Colombia

Baba Mtakatifu Francisko katika katekesi Jumatano 13 Septemba 2017 ameelezea juu ya ziara yake ya kitume ya hivi karibuni nchini Colombia

Baba Mtakatifu Francisko katika katekesi Jumatano 13 Septemba 2017 ameelezea juu ya ziara yake ya kitume ya hivi karibuni nchini Colombia

Papa amelezea ziara yake ya Kitume nchini Colombia katika Katekesi

13/09/2017 16:06

Katika Katekesi yake Baba Mtakatifu Mjini Vatican Jumatano 13 Sept amameliza kwa ufupi ziara yake ya kitume kwamba,kwa mara nyingine tena anawawakabidhi watu wote wapendwa wa Colombia kwa mama Maria, mama yetu wa Chiquinquirá aliyeweza kumtolea heshima katika Kanisa Kuu

 

Papa Francisko: shikamaneni na Kristo katika ubinadamu wake, mwabuduni katika Umungu wake na shibabeni na kulandana na Kristo kwa njia ya Neno!

Papa Francisko: shikamaneni na Kristo katika ubinadamu wake; mwabuduni katika Umungu wake na shikamaneni na kulandana naye kwani ni chemchemi ya maisha ya kiroho.

Papa Francisko: Mapadre na watawa muwe mashuhuda wa furaha ya Injili

10/09/2017 15:03

Papa Francisko anawataka Mapadre na watawa kushikamana na Kristo Yesu katika ubinadamu wake kwa njia ya huduma makini; washikamane na Kristo Yesu katika kuabudu Umungu wake na daima wabaki wakiwa wameshibana na kulandana na Kristo Yesu, chemchemi ya furaha ya Injili kwa watu wake!

Papa Francisko anasema, watoto ni mboni y ajicho la maisha na utume wa Kanisa!

Papa Francisko anasema, watoto ni mboni ya jicho la maisha na utume wa Kanisa.

Papa Francisko: watoto wana upendeleo wa pekee machoni pa Kanisa

10/09/2017 14:44

Papa Francisko katika maisha na utume wake anaguswa sana na mahangaiko pamoja na mateso ya watoto sehemu mbali mbali za dunia, watoto ambao wakabiliana na kifo kutokana magonjwa ambayo yangewezeka kuzuilika au kutibiwa, watoto wanaoteseka kwa njaa na kunyanyasika utu wao!

Papa Francisko anasema, Kanisa ni mali ya Kristo linapaswa kupyaishwa kila wakati!

Papa Francisko anasema, Kanisa ni mali ya Kristo linapaswa kupyaisha kila wakati!

Papa Francisko: Kanisa ni mali ya Kristo linapaswa kujipyaisha daima

10/09/2017 14:22

Papa Francisko anawakumbusha viongozi wa Kanisa kutambua kwamba, wao ni wahudumu wa Mafumbo ya Kanisa na wala si wamiliki wa Kanisa, kwani Kanisa ni mali ya Kristo Yesu! Wasiwe vikwazo kwa watu wa Mungu wanaotaka kukutana na Mwenyezi Mungu katika safari ya maisha yao ya kiroho!