Mitandao ya kijamii:

RSS:

Radio Vatican

Sauti ya Papa na Kanisa katika majadiliano na ulimwengu

Lugha:

Jimbo kuu la Kinshasa, DRC

Kardinali Pasinya ni mmoja kati ya washauri 9 wa Baba Mtakatifu anasema, ipo haja ya kuwasaidia vijana Afrika

Kardinali Pasinya ni mmoja kati ya washauri 9 wa Baba Mtakatifu anasema, ipo haja ya kuwasaidia vijana Afrika

Kanisa Afrika leo hii linajikita na vijana wapate kujitambua !

18/06/2018 08:46

Kanisa leo hii Afrika ndiyo ilikuwa mada ya Mkutano wa Kardinali Laurent Monsegwo Pasinya, Askofu Mkuu wa Kinshasa  nchini DRC na mmoja kati ya makardinali tisa  washauri wa Baba Mtakatifu Francisko na baadhi ya waandishi wa habari Vatican News katika Ukumbi wa Marconi tarehe 14 Juni 2018.

 

Wasalesiani wa Don Bosco wamebuni na kugharimia mradi mkubwa wa kilimo na ufugaji kwa wanawake wa Parokia ya Don Bosco, DRC.

Wasalesiani wa Don Bosco wamebuni na kugharimia mradi wa kilimo na ufugaji bora kwa ajili ya wanawake wa Parokia ya Don Bosco, Jimbo kuu la Kinshasa nchini DRC.

Wanawake nchini DRC wanajifunga kibwebwe kupambana na hali yao!

15/05/2018 08:56

Shirika la Wasalesiani wa Dono Bosco limebuni na kugharimia mradi mkubwa wa kilimo na ufugaji wa kisasa kwa ajili ya wanawake wa Parokia ya Don Bosco, Jimbo kuu la Kinshasa nchini DRC. Lengo ni kuwajengea wanawake uwezo wa kiuchumi ili kukabiliana na changamoto za maisha kwa wakati huu!

Askofu mkuu Fridolin Ambongo Besungu ateuliwa kuwa Askofu mwandamizi Jimbo kuu la Kinshasa, DRC.

Askofu mkuu Fridolin Ambongo Besungu ateuliwa na Papa Francisko kuwa Askofu mwandamizi mrithi wa Jimbo kuu la KInshasa, DRC.

Askofu mkuu Fridolin Ambongo Besungu ateuliwa kuwa Askofu mwandamizi

06/02/2018 16:21

Askofu mkuu Fridolin Ambongo Besungu ameteuliwa kuwa Askofu mwandamizi mrithi wa Jimbo kuu la Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Congo. Huyu anatarajiwa kumrithi Kardinali Laurenti Monswengo Pasinya, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Kinshasa nchini DRC.

Kard. Monsengwo: Makubaliano yaliyofikiwa DRC hayana budi kutekelezwa ili kujenga haki, amani na demokrasia ya kweli!

Kard. Monsengwo: Makubaliano yaliyofikiwa hayana budi kutekelezwa kwa dhati ili kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani na demokrasia ya kweli.

Kardinali Monsengwo: Makubaliano yaliyofikiwa hayana budi kutekelezwa

06/01/2018 10:40

Kardinali Laurent Monsengwo Pasinya, Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Kinshasa, DRC anasema, ili kujenga na kudumisha misingi ya haki, amani na maridhiano kati ya watu kuna haja kwa viongozi wa kisiasa kuhakikisha kwamba, makubaliano ya amani yaliyotiwa sahii yanatekelezwa kwa dhati!